Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Trump akiingia madarakani atapashwa kufanya mabadiriko makubwa sana kwenye vyombo vya kijasusi nchini mwake/Merikani.
Yaani badala ya wao kujishughulisha na masuala ya usalama wao wanachanganya siasa na usalama especial kipindi hiki cha awamu ya mwisho ya Admin. ya Obama wamejidhalilisha sana kwa taarifa zao za kubuni tu na kutaka Mataifa yasielewane, kisa? Kipenzi chao Hillary kashindwa kuiingia Ikulu lazima wamuvurugie Trump ili apate wakati mgumu akiwa madarakani.
Kundi hili ovyo wanacho sahau ni kwamba Trump ni tajiri mkubwa for a reason - moja ikiwa ni business acumen pili ni kuona mbali na tatu ni jinsi ya ku-deal na washindani wake wawe wa kibiashara au kisiasa wote hao anawapa enough rope ili wajimalize wenyewe na hili ndilo limewakumba akina Obama, Hillary, McCaine, Bush Jeb na makamu wa Rais Joe Biden wote hao wamejaribu sana kumzima Trump na wote wakaishia kuangukia pua - hawajifunzi kitu bado tu wanaendelea kubuni mbinu nyingine za kijinga.
True mkuu, lakini vyombo vile vyaweza kumfanyizia kitu mbaya, na ni lazima vitachunguza hiyo jeuri ya Trump inatoka wapi.Trump anawapuuza kwa sababu ni hao hao waliotoa intelingesia za uongo kuhusu Iraq na hivyo kuiingiza Marekani katika vita vya kijinga vilivyochukuwa fedha nyingi sana.
Trump hataki kudanganywa kwa kisingizio cha jumuia ya kijasusi.
Ndo maana anaweka watu na washauri wake wapya wa masuala mbali mbali!
Dead wrong!Pale White house palikua na Nigger, mwafrika Huyo hakuacha asili akavigeuza vyombo vyote vya usalama kuwa taasisi za chama tawala.
Navyo vikaingia kupiga siasa kwelikweli.
May be maana ki origin wazaz wa Trump sio WaamerikaHapo ndipo jeuri ya TRUMP ilipo.Inawezekana ameona system ya usalama ya marekani iko weak kwenye utawala wake labda atatumia security system ya kirusi kwa rafiki yake putin.
Inawezekana Trump alikuwa recruit wa russia kwa miaka nenda rudi akiandaliwa kuwa raisi wa marekani.Utajiri alionao waweza kuwa sio wake ni mali za warusi yeye ni agent tu na mshika mali za akina Putin na matajiri wa kirusi na shirika lao la ujasusi ndio maana anawang`onga wanausalama wa marekani
Wamarekani wote ni wahamiaji,hawana origin ya marekani.May be maana ki origin wazaz wa Trump sio Waamerika
Mamake Mskochi na Babake Mjeruman
Kwa mwanya huo,huenda RUSSIA wamempenyeza jamaaWamarekani wote ni wahamiaji,hawana origin ya marekani.
Tatizo ni kukosa weledi na hivyo kutumikia vyama au viongozi kwa maslahi yasiyo ya kitaifa.exactly,vilijitoa kwenye sura ya utaifa vikawa vyombo vya siasa,ndio maana DJP anawakanyagia
Mkuu hao jamaa ni leaders of the underworld.
Tofauti kati ya majasusi na majambazi ni ndogo sana.
Alipouwawa JF Kennedy chunguzi zote ziliainisha uhusiano kati ya FBI na The Mob.
The Mob wanachukua contracts za kufanya kazu chafu zisizo weza kuchunguzwa.
Tatizo ni kukosa weledi na hivyo kutumikia vyama au viongozi kwa maslahi yasiyo ya kitaifa.
Umeonaee, hapo Mh Trump atasemwa kwa mabaya tu.Anatakiwa a-win yeye mapema kabla hawajamzunguka.
Na hilo ndiyo msingi wa tatizo kwa sasa ! Mob ya Wanasiasa wamekwisha jumuika na wapiga dili-na kwa sasa Trump anaonekana ni threat kwa mustakabali wao na kwa bahati mbaya magenge ya wapigadili na wanasiasa wana watu wao ndani ya system ambao ni sehemu ya Madili matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona.
Unajua ni kwa nini haiwezekani vyombo hivyo havitaweza kumfanyia vibaya?True mkuu, lakini vyombo vile vyaweza kumfanyizia kitu mbaya, na ni lazima vitachunguza hiyo jeuri ya Trump inatoka wapi.
Mkuu nakuelewa sana. ISIPOKUWA itakuwa ni VIGUMU sana kwa vyombo hivyo kufanya lolote.True mkuu, lakini vyombo vile vyaweza kumfanyizia kitu mbaya, na ni lazima vitachunguza hiyo jeuri ya Trump inatoka wapi.
Inawezekana kabisa Trump alikuwa a sleeper agent wa Urusi.
Si unaona anavyomung'unya maneno linapotokea suala la kusaidiwa na Putin?
Wamarekani wote ni wahamiaji,hawana origin ya marekani.
Mkuu data zako si sawa.Sawa, sasa chunguza katika historia ya Merikani asili mia karibu 98% za Marais wa Taifa hilo origin zao ni kutoka Taifa gani Ulaya and WHY?
Wakati wao ni asili mia 26% tu ya raia wote wa Merikani!!
Religious PERSECUTION/ Mateso ya KIDINI!Sawa, sasa chunguza katika historia ya Merikani asili mia karibu 98% za Marais wa Taifa hilo origin zao ni kutoka Taifa gani Ulaya and WHY?
Wakati wao ni asili mia 26% tu ya raia wote wa Merikani!!
Mkuu taaluma ya hacking kwa sasa hivi ni talk of the town.Mkuu, sleeper agent wa design gani? Je, kama Hillary angeshinda uchaguzi wangeleta ujinga wao huu - wataalamu wa mawasiliano ya kimtandao wanajua si rahisi kudukua mafaili/info kwenye machines zilizo unganishwa kwenye intranet (ndani kwa ndani) mambo ya security concern yanaongezeka exponentially unapo jiunga kwenye cloud/Internet - yaani Wamerika pamoja na taaluma yao ya hali ya juu katika masuala ya security kwenye mitandao wangeweza kuwa so sloppy wakashindwa ku plug loopholes ambazo ma hackers wangezitumia kudukua au kudoctor mafaili/data muhimu - awasemi ukweli, in other words wasitafute visingizio vya kulauumu Mataifa mengine baada ya mteule wao kukataliwa na wapiga kura, wanaona aibu ndiyo inawafanya washikwe kiwewe na kuanza kumlaumu Putin kwa kila kitu as if Marekani ni mbumbumbu(Dunia ya tatu) katika masuala ya tekinilojia ya kimtandao, waongo kweli kweli hawa.
Ndiyo maana Trump yuko confident anapo wajibu kwamba taarifa zao za kiupelelezi niza kizushi tu hawana ushahidi wowote wa maana zaidi ya ku misqoute/misintepret newsreel za Russia Today, inasikitisha kuona Wakuu wa vitengo vya kijasusi Nchini Merikani wana behaving like toddlers mbele ya kadamunasi mmoja wao (one Claper) anajulikana kwa ulaghai wake wa siku nyingi - is a pathological liar par excellence!!
Luckily enough Trump is extremly intelligent and hardworking like all German descendants, awezi kukubali kuwa bulldozed na mijitu misanii tu yenye agenda za siri za kuendeleza utawala wa ruling class (Establishment) - wapiga kura wa Kimerikani have had enough ya kundi hili ndiyo maana wakahamua kufanya mapinduzi ya kimya kimya kwa kupitia sanduku la kura.
Umeambiwa wanashindana?nkumene, post: 19184718, member: 338682"]Mwsho wa cku tutaona hio vta ya trump Na majasusi wake mshnd atakua nan
Huyu faru wetu ni km trump wao hakuna tofaut ni full kuropoka na milipuko ya kijingaWalah! Jamaa akiingia White House atafanya vumua vumua kama ya Jp,hivyo waliopo wanajaribu kumchonganisha na Masenator.