Vyeti kuungua moto

Vyeti kuungua moto

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
Habari wakuu zangu nawasaliimu sana.

Naombeni sanakama kichwa cha habari kinavyojieleza vyeti vyangu vyote vimeungua moto nzungumzia kuanzia form 4 mpaka chuo kikuu sasa nashindwa nianzie wapi kuvipata.Nawaomba mnifungue macho jamani nianzie wapi yeyote aliyewahi kutana na kitu hii anishauri wapendwa.

Je kuna uwezekano wakuvipata upya ?

nawasilisha?
 
nenda
polisi kwanza(japo tunawadharau kuwa wauaji,ila kwa hili
watakusaidia),utaandika LOSS REPOT ya vyeti vyako,then utaenda
mahakamani kwa ajili ya Approval ya kisheria,toka hapo utapeleka hvo
viambatanisho baraza la mitihani(kwa upande wa vyt vya sec)
hao jamaa watakupa STATEMENTS ktk kuthibitisha kuwa kweli umepitia hatua hzo kwa matokeo hayo,ila hupewi cheti kngne,ni maelezo tu.
 
nenda
polisi kwanza(japo tunawadharau kuwa wauaji,ila kwa hili
watakusaidia),utaandika loss repot ya vyeti vyako,then utaenda
mahakamani kwa ajili ya approval ya kisheria,toka hapo utapeleka hvo
viambatanisho baraza la mitihani(kwa upande wa vyt vya sec)
hao jamaa watakupa statements ktk kuthibitisha kuwa kweli umepitia hatua hzo kwa matokeo hayo,ila hupewi cheti kngne,ni maelezo tu.
asante sana mkuukwa muda wako na ushauri ntaufuatilia!
 
Habari wakuu zangu nawasaliimu sana.
Naombeni sanakama kichwa cha habari kinavyojieleza vyeti vyangu vyote vimeungua moto nzungumzia kuanzia form 4 mpaka chuo kikuu sasa nashindwa nianzie wapi kuvipata.
Nawaomba mnifungue macho jamani nianzie wapi
yeyote aliyewahi kutana na kitu hii anishauri wapendwa.
Je kuna uwezekano wakuvipata upya
nawasilisha

nenda polisi watakupa loss report baada ya hapo nenda shule ulizo soma watakuaondikia barua za uthibitisho na uwe na picha paspot zize ambazo mkuu wa shule uliyosoma ata gonga mhuri juu ya picha na katika barua hizo watatajia adimision No na Examination No zako kiisha nyaraka hizo peleka baraza la mitihani la tanzania wao hawakupi vyeti ila kila utakapo aply kazi au kusoma wao watato Statement of result kule uliko aply
 
nenda polisi watakupa loss report baada ya hapo nenda shule ulizo soma watakuaondikia barua za uthibitisho na uwe na picha paspot zize ambazo mkuu wa shule uliyosoma ata gonga mhuri juu ya picha na katika barua hizo watatajia adimision no na examination no zako kiisha nyaraka hizo peleka baraza la mitihani la tanzania wao hawakupi vyeti ila kila utakapo aply kazi au kusoma wao watato statement of result kule uliko aply
asante sana kwa muda wako na ushauri wako
 
Jamani Nivea my sis, pole sana....ushauri wa y-n uko spot on na utakusaidia maana watakuulizia scenario nzima, watathibitisha uhalisia wa tukio then sasa utaanza kufanya process baraza na kwenye vyuo husika

Pole and wish ufanikiwe katika kupata tena vyeti vyako....maana msoto wake mkubwa atiii afu vije viungue tu
 
Last edited by a moderator:
Duhhhhhhh kumbe gamba langu lina thamani hivi kwamba likipotea hawanipi jengine ngoja nilinunulie self ya chuma hata moto uspite
 
Duu pole nivea ! Is a big loss ! Tupo pamoja fuata ushauri wote waliokueleza ndivyo inavyopaswa kufanya ! Pole sana .
 
Duhhhhhhh kumbe gamba langu
lina thamani hivi kwamba likipotea hawanipi jengine ngoja nilinunulie
self ya chuma hata moto uspite

yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.
 
yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.

Haaa aisee kumbe lamination hairuhusiwi!! Vyangu nshavifanyia ? Ahsante kwa taharifa y- n ,! Nimeviweka kwa mdingi huko maana sisi vijana unaweza kuta vimechomwa na waif mkileteana kasheshe si ndo anajua vinakupa kibri kwa mdingi huko haa familia nzima utavikuta hapo !!!
 
Pole, mimi nilishapoteza vyeti vya Olevel na Alevel, ikaishia kupata statement of results kama walivyosema wadau, ila nina photo copy tu.
 
Haaa aisee kumbe lamination
hairuhusiwi!! Vyangu nshavifanyia ? Ahsante kwa taharifa y- n ,!
Nimeviweka kwa mdingi huko maana sisi vijana unaweza kuta vimechomwa na
waif mkileteana kasheshe si ndo anajua vinakupa kibri kwa mdingi huko
haa familia nzima utavikuta hapo !!!

kweli,hawa wanawake wetu sometimez hawaeleweki mkuu.
 
yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.

Hii ni habari mpya, lamination hairuhusiwi kwani inabadili nini? Mbona hawatoi elimu hiyo maana wengi tumefanya hivy. BTW poke sana NIVEA.
 
Hii ni habari mpya,
lamination hairuhusiwi kwani inabadili nini? Mbona hawatoi elimu hiyo
maana wengi tumefanya hivy. BTW poke sana NIVEA.

kuna jamaa angu alikuwa na kesi,vyeti vkapelekwa vkiwa laminated,walimsumbua sana kwa court,but ni njia ambayo hata mimi na watz wengi tunaitumia,nahisi hata JK atakuwa amefanya hvo.
 
Hiyo ya LAMINATION naona hao watu wa
Mahakama walitaka kumsumbua bure
huyo jamaa, sasa wewe unaposema
Kisheria usije kuwa kama
LUKUVI Bungeni kila mara kanuni ya
68.

Nivea Pole sana lakini wadau wakupa
mtiririko mzima ni kufuata hatimaye
utatambulika pale unapohitaji huduma.
 
kama ulisoma udsm ukiambatanisha hivyo hapo juu wanaweza kukutengenezea cheti kingine sio big deal kwao ila itabidi usubiri baada ya mwaka ( kama taratibu hazijabadilika) kwa vyuo vingine sijui result slip ndani ya siku chache unapata inategemea na kujiongeza kwako
 
Bora tusumbuane na sheria kuliko kuacha vyeti vyangu vilowane na maji au mafuta.

Sio siri mkuu kuna risk nyingi sana, kwa sisi wa uswazi mende wanaweza kuvigeuza toilet na dinner au madogo wanaweza kufungia vitumbua ikala kwetu. Kama mbwai na iwe mbwai mi sijaacha hata kimoja vyote viko laminated. Sheria zao za kuombea rushwa wapeleke mbele huko.
 
Back
Top Bottom