MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
- Thread starter
- #81
Inategemeana na aina ya cheti ambacho huna, naona hujaelewa mada ndugu! Kinazungumziwa hapa ni cheti cha sekondari ambacho ndio cheti cha msingi wewe kusoma Elimu yako ya chuo! Unawezaje kusoma chuo huna cheti cha sekondari? Labda veta au mambo ya hoteli hapo ntakuelewa, kuna uwezekano ukawa umesomeka utabibu na ukimaliza lakini hujapata cheti cha chuo kutokana cheti kuchelewa kutoka halafu ukatoka mtaani unakuta mama ezidiwa ameshindwa kujifungua na hakuna mtaalamu wa afya hata moja,wewe ukashauri aende hospitali na ukasaidia pia kumchoma sindano ya kupunguza maumivu hapo utakua nako umesaidia japo cheti huna.Nikiwa nimehitimu kozi fulani bila kupata cheti,palikuwa na shida ya mtaalamu wa kutatua tatizo lililokuwa linaikabili jamii hiyo.Kutokana mazingira magumu wenye vyeti hawaendi huko. Nikajitokeza kutatua tatizo bila kuwa na cheti hata cha kufoji.Je utaniweka fungu gani?,maana ujuzi ninao na kazi naimudu vizuri mpaka kuwa mfanyakazi bora!.
Lakini hapa cheti kinachozungumzwa ni cheti cha Elimu ya sekondari kwenye fani muhimu kama afya,uhandisi,Elimu na zinginezo! utakuaje Mhandis au tabibu cheti cha sekondari huna bhana? Unaweza kujaribu kwingine lakini sio kwenye fani kama hizi ndugu yangu!