Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

Nikiwa nimehitimu kozi fulani bila kupata cheti,palikuwa na shida ya mtaalamu wa kutatua tatizo lililokuwa linaikabili jamii hiyo.Kutokana mazingira magumu wenye vyeti hawaendi huko. Nikajitokeza kutatua tatizo bila kuwa na cheti hata cha kufoji.Je utaniweka fungu gani?,maana ujuzi ninao na kazi naimudu vizuri mpaka kuwa mfanyakazi bora!.
Inategemeana na aina ya cheti ambacho huna, naona hujaelewa mada ndugu! Kinazungumziwa hapa ni cheti cha sekondari ambacho ndio cheti cha msingi wewe kusoma Elimu yako ya chuo! Unawezaje kusoma chuo huna cheti cha sekondari? Labda veta au mambo ya hoteli hapo ntakuelewa, kuna uwezekano ukawa umesomeka utabibu na ukimaliza lakini hujapata cheti cha chuo kutokana cheti kuchelewa kutoka halafu ukatoka mtaani unakuta mama ezidiwa ameshindwa kujifungua na hakuna mtaalamu wa afya hata moja,wewe ukashauri aende hospitali na ukasaidia pia kumchoma sindano ya kupunguza maumivu hapo utakua nako umesaidia japo cheti huna.

Lakini hapa cheti kinachozungumzwa ni cheti cha Elimu ya sekondari kwenye fani muhimu kama afya,uhandisi,Elimu na zinginezo! utakuaje Mhandis au tabibu cheti cha sekondari huna bhana? Unaweza kujaribu kwingine lakini sio kwenye fani kama hizi ndugu yangu!
 
sioni mantiki ya cheti halali au fake kwani hakuna tofauti ya mwenye cheki halali na fake wote ni sawa tu cha muhimu kama kazi wanaiweza pouwa 2 kwan tanzania tunafanyaga kazi kwa mazoea tu c kwa kile 2lichofundishwa shule

mkuu hivi hua zinakutosha kweli au unazo za kuendea chooni tu?
 
mkuu kwanza nikufahamishe tanzania hakuna wasomi ila kuna watu wana hold vyeti tu leo c jambo la ajabu kukuta m2 wa chuo kushindwa kuandika ata barua ya kazi tumekuwa wajinga wa wanafunz wetu kuwaza kupata vyeti tu ndo maana utakuta vyuoni watu wapo radhi kuhonga hata unyevu au fedha ili wapate kazi tu sasa kipi bora huyu mwenye vyeti fake mwenye uzoefu wa miaka 10 kazini na ww mwenye cheti orgnal ambacho umekipata kimipango mipango ? leo mpaka najiuliza hv kweli tanzania kuna watu waliokwenda shule kweli au kuna watu wanamiliki tu vyeti vya shule coz msomi ata maamuzi yake tu au kuongea kwake tu utajua ni msomi ebu angalia au nipe tofauti ya aliesoma au asiyesoma tanzania ktk nyanja ya ufahamu na maamuz ?
ma,vi matupu
 
izzo mtazamo wako kuhusu vyeti na namna mtu anavyoitumia elimu aliyoipata ni mzuri sana,lakini tumezoea kuamini vyeti,kazi kwanza cheti baadaye.

Kuna watu mna matatizo sana, kinachozungumzwa hapa ni cheti cha sekondari ambacho ndio cheti cha kukussidia wewe kusoma taaluma yako! Hata wale wauguzi wana vyeti vya vyuo lakini vya sekondari hawana eti? Jiulize utasomaje uhandisi au uuguzi sekondari nikipitia?
 
kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa serikali iliruhusu watu kugushi vyeti wakasome mambo ya afya kisa wengi wamekimbia sayansi?

Sisemi kuwa waliruhusu kughushi vyeti,ila miaka ya 70/80/90 hadi form 2 aliruhusiwa kusoma certificate ya nursing & form 4 failure nao waliruhusiwa. Lengo lilikuwa kupata wataalamu hawa kwa wingi.

Nimezaliwa familia ya afya, nimekulia mazingira ya hospitali (yaani, ndo sehemu zetu za kujidai) & na mimi nimesomea kozi mojawapo ya afya, hivyo nina ufahamu huo. Sasa, kipindi cha Mkapa ukaanzishwa mpango wa elimu ya kujiendeleza kwa masomo ya jioni (ngumbaru) & uliwalenga watumishi wa umma walioko kazini lakini hawakuwa na certificate za form four au hawakuwa na credit ktk masomo yanayohusika.

Nakumbuka namna mama yangu alivyokuwa anaenda masomo ya jioni kusaka credit hizo pamoja na watumishi wengine. Huwezi amini walikuwa wengi sana; Nilikuwa namsaidia kwenye masomo ya sayansi kumuandikia notice & kumpa shule. Alipofanya mtihani alifaulu & baada ya mwaka akaruhusiwa kwenda kuongezea diploma. Sas, amebakiza 3 yrs kustaafu.

Leo hii, kuajiri mtu aliyeghushi cheti kuna walakini. Lakini nachofahamu hawa wazee wetu walipewa nafasi ya kutengeneza na Mkapa ... Sijui huyu atatumia busara zipi hapa. Anyways, nilitaka nikupe mwanga kidogo ili usiwe mshabiki tu. Barikiwa, kwa leo nakomea hapa.
 
Sisemi kuwa waliruhusu kughushi vyeti,ila miaka ya 70/80/90 hadi form 2 aliruhusiwa kusoma certificate ya nursing & form failure nao waliruhusiwa. Lengo lilikuwa kupata wataalamu hawa kwa wingi.

Nimezaliwa familia ya afya, nimekulia mazingira ya hospitali (yaani, ndo sehemu zetu za kujidai) & na mimi nimesomea kozi mojawapo ya afya, hivyo nina ufahamu huo. Sasa, kipindi cha Mkapa ukaanzishwa mpango wa elimu ya kujiendeleza kwa masomo ya jioni (ngumbaru) & uliwalenga watumishi wa umma walioko kazini lakini hawakuwa na certificate za form four au hawakuwa na credit ktk masomo yanayohusika.

Nakumbuka namna mama yangu alivyokuwa anaenda masomo ya jioni kusaka credit hizo pamoja na watumishi wengine. Huwezi amini walikuwa wengi sana; Nilikuwa namsaidia kwenye masomo ya sayansi kumuandikia notice & kumpa shule. Alipofanya mtihani alifaulu & baada ya mwaka akaruhusiwa kwenda kuongezea diploma. Sas, amebakiza 3 yrs kustaafu.

Leo hii, kuajiri mtu aliyeghushi cheti kuna walakini. Lakini nachofahamu hawa wazee wetu walipewa nafasi ya kutengeneza na Mkapa ... Sijui huyu atatumia busara zipi hapa. Anyways, nilitaka nikupe mwanga kidogo ili usiwe mshabiki tu. Barikiwa, kwa leo nakomea hapa.

wewe hujielewi kabisa.

hapa tunaongelea watu kugushi vyeti wewe unatuambia habari za watu ambao hawakugushi na serikali inajua hivyo na wala hawana hivyo vyeti.

tunaongelea waliogushi siyo watu waliopata ruhusa ya kusomea fani hiyo huko nyuma bila kuwa na qualification zilizopo sasa.

hao hawana tatizo na hawawezi kuguswa na fagio hilo la vyeti vya kugushi.
 
Kama hukuipata hiyo kazi kwa uhalali kutenda uadilifu unakuwa mgumu ingawa wapo ila dhambi ya udanganyifu itaendelea kukutafuna.Napendekeza penye idara pawepo hata na phase za kuondoa watu hawa maana mitaani wapo watu wa kukidhi nafasi zao.
 
Inategemeana na aina ya cheti ambacho huna, naona hujaelewa mada ndugu! Kinazungumziwa hapa ni cheti cha sekondari ambacho ndio cheti cha msingi wewe kusoma Elimu yako ya chuo! Unawezaje kusoma chuo huna cheti cha sekondari? Labda veta au mambo ya hoteli hapo ntakuelewa, kuna uwezekano ukawa umesomeka utabibu na ukimaliza lakini hujapata cheti cha chuo kutokana cheti kuchelewa kutoka halafu ukatoka mtaani unakuta mama ezidiwa ameshindwa kujifungua na hakuna mtaalamu wa afya hata moja,wewe ukashauri aende hospitali na ukasaidia pia kumchoma sindano ya kupunguza maumivu hapo utakua nako umesaidia japo cheti huna.

Lakini hapa cheti kinachozungumzwa ni cheti cha Elimu ya sekondari kwenye fani muhimu kama afya,uhandisi,Elimu na zinginezo! utakuaje Mhandis au tabibu cheti cha sekondari huna bhana? Unaweza kujaribu kwingine lakini sio kwenye fani kama hizi ndugu yangu!

Kumbe vya SEKONDARI?,wakague mpaka vya MSINGI kwa uhakika.Nimekuelewa.
 
wewe hujielewi kabisa.

hapa tunaongelea watu kugushi vyeti wewe unatuambia habari za watu ambao hawakugushi na serikali inajua hivyo na wala hawana hivyo vyeti.

tunaongelea waliogushi siyo watu waliopata ruhusa ya kusomea fani hiyo huko nyuma bila kuwa na qualification zilizopo sasa.

hao hawana tatizo na hawawezi kuguswa na fagio hilo la vyeti vya kugushi.

Sawa, nimekuelewa unaejielewa!
 
Mtu unaposomea kitu ni mapenzi uliyonayo kwa unachosema na uwezo wako, ndio maana wauguzi hawana huruma na wagonjwa na majibu yao ya karaha.
Nimejiuliza sana hivi inakuwaje umeamua kusaidia jamii kwa dhati halafu unakuwa na roho mbaya hivi. Sasa jibu nimepata
 
Kuna watu mna matatizo sana, kinachozungumzwa hapa ni cheti cha sekondari ambacho ndio cheti cha kukussidia wewe kusoma taaluma yako! Hata wale wauguzi wana vyeti vya vyuo lakini vya sekondari hawana eti? Jiulize utasomaje uhandisi au uuguzi sekondari nikipitia?

Mkuu MAHANJU nimekuelewa hoja yako.
 
Back
Top Bottom