Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Inasemekana kwamba kuna idadi kubwa sana ya wauguzi na baadhi ya watumishi wa wizara ya Afya hasa mahospitali kwa kiasi kikubwa wamegushi vyeti vyao vya sekondari na wengine hawana kabisa vyeti hivyo, wengi ndani ya makazi yao wako matumbo moto wakisubiria fagio la Magufuli.

Inasemekana endapo fagio hilo litatua katika idara mbali mbali ndani ya wizara hiyo linaweza kuzoa watumishi wengi sana ambao kwa muda mrefu wamekua wafanyakazi wa umma ambapo hali hiyo inaweza kusababisha kupungua kwa wafanyakazi wengi sana.

Chanzo: Baadhi ya watumishi wa mahospitali.
 
hiyo ni kweli, mimi mwenyewe nilishangaa kumuona mtu kakomea form tu ameanza kusomea uuguzi nilipouliza nikaambiwa amegushi vyeti. Na hivi karibuni atamalizia masomo yake akaajiliwe.

kuna watu mtaani wanasugua benchi na walipata elimu na matokeo ya halali afu ajira zimekaliwa na wahuni tu.

wakwanguliwe tu.

maana imefika kipindi watu wanaona kusoma ni kupoteza muda na mali kwa kuwa ajira ni tatizo kumbe kuna watu wanakaa tu stationary na kutengeneza vyeti na kesho wanakuwa wafanyakazi.

wawafagie wote.

hakuna cha kujutia kwa kuwa hata wao wanajua hawastahili kuwepo hapo ila ni ujanja ujanja tu.
 
Mkuu pole sana, inauma sana wako watu wamesoma wako mtaani wengine wenye vyeti feki wako makazini.
Je kuna madudu mangapi wanasababisha hao wenye vyeti feki??
 
hiyo ni kweli, mimi mwenyewe nilishangaa kumuona mtu kakomea form tu ameanza kusomea uuguzi nilipouliza nikaambiwa amegushi vyeti. Na hivi karibuni atamalizia masomo yake akaajiliwe.

kuna watu mtaani wanasugua benchi na walipata elimu na matokeo ya halali afu ajira zimekaliwa na wahuni tu.

wakwanguliwe tu.

maana imefika kipindi watu wanaona kusoma ni kupoteza muda na mali kwa kuwa ajira ni tatizo kumbe kuna watu wanakaa tu stationary na kutengeneza vyeti na kesho wanakuwa wafanyakazi.

wawafagie wote.

hakuna cha kujutia kwa kuwa hata wao wanajua hawastahili kuwepo hapo ila ni ujanja ujanja tu.

Idara ya afya inaweza kuongoza nchi nzima kwa wafanyakazi wenye vyeti vya kukugushi! Kuna mtu moja nilimsikia akilalamika kua kuna Muuguzi mmoja pale Muhimbili ana degree ya nursing lakini amereseat mtihani wa form four mwaka huu! Jiulize chuo kikuu aliendaje mpaka akamaliza.
 
Tatizo liko wapi? mnataka kuwapeleka wapi na ujuzi wao?.Hebu tufahamiane vizuri sifa zetu za elimu,umetoka wapi na upo wapi,kwani huko hamkaguliwi vyeti?
 
atakuja kujibu ilikuwaje akapata fursa ya kusoma degree huku matokeo hayakumruhusu kama kafanya mwaka huu.

hatari sana
 
Hakiangaliwi cheti unaangaliwa uwezo wa kufanya kazi.mnavyeti tu then wavivu

1.kesi ya kwanza kugushi cheti.

2.kesi ya pili kuidanganya mamlaka ya uajiri.

3.Kesi ya tatu kufanya kazi usiyo na ujuzi nayo kisheria.

huo uwezo utakuja kuuliza baadae ukishatoka jera.
 
Tatizo liko wapi? mnataka kuwapeleka wapi na ujuzi wao?.Hebu tufahamiane vizuri sifa zetu za elimu,umetoka wapi na upo wapi,kwani huko hamkaguliwi vyeti?

tatizo lipo pale walipogushi vyeti pamoja na kudanganya mamlaka za uajiri kwa kutumia vyeti bandia.

tunataka kuwapeleka mtaani na ujuzi wao wa kugushi.

naona hawakukaguliwa. saizi inabidi wakaguliwe sasa.
 
Wanao resit ni wale ambao walisoma zamani kuna walioanzia medical attendant na wengi assistant nersu kipindi cha nyuma ulikuwa hata secondary ulisoma masomo ya arts au biashara walikuwa naenda kozi za medical isipokuwa ofisa muuguzi au MD.lakini sasa ukitaka kujiendeleza lazima u risiti masomo ya sayansi kwanza hata kama umefanyakazi miaka mingi.ila wakifuatilia vyeti vya form four watakamata wengi sana vya taaluma ni ngumu kugushi mbona unakamatwa mara moja ukiwekewa mtego wa procedure ya kufanya utabaki unatoa macho.
 
Idara ya afya inaweza kuongoza nchi nzima kwa wafanyakazi wenye vyeti vya kukugushi! Kuna mtu moja nilimsikia akilalamika kua kuna Muuguzi mmoja pale Muhimbili ana degree ya nursing lakini amereseat mtihani wa form four mwaka huu! Jiulize chuo kikuu aliendaje mpaka akamaliza.

Kuna mtu ni mtumushi mmoja ktk idara afya tena mama mtu mzima anasoma QT aende chuo cha uuguzi. Sasa anauguza nini kama hata sekondari hajasoma?
 
Nyie wenye vyeti halali mmelifanyia nini taifa?

wapo wengi wenye vyeti halali wanafanya kazi ya halali kwa taifa.

hao wa kugushi watumbuliwe tu.

watu wanahenyeka na kusugua makalio miaka na miaka kusoma afu wengine wanaenda stationary tu na kuhitimu form four,kuhitimu cheti cha afya nk nk.

haikubaliki na uhuni huu ukomeshwe.

wengine wanajinyonga baada ya kukomaa wakafeli eti wengine wapate ulaji wa chee kabisa.

wakalime ngogwe.
 
sioni mantiki ya cheti halali au fake kwani hakuna tofauti ya mwenye cheki halali na fake wote ni sawa tu cha muhimu kama kazi wanaiweza pouwa 2 kwan tanzania tunafanyaga kazi kwa mazoea tu c kwa kile 2lichofundishwa shule
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom