johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,635
- 142,977
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi
Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu ndiye Chadema
Alipotwaliwa Maalim Seif na ACT Wazalendo ndio wanamalizia kutembelea Nyota yake baada ya 2025 inabidi watafute mwanachama mwingine mwenye Nyota inayong'aa awaletee Mvuto
Jumaa Mubarak 😀