Mzee Lunyungu,
Pamoja na heshima mbele, ninachoweza kujibu hapo ni kwamba mwenyekiti wa ccm, ambaye ni rais wa jamhuri yetu, kazi yake ni kutekeleza ilani za ccm ndani ya serikali, ndio maana kisheria tumempa vyombo vya dola kuhakikisha hilo linafanyika, smoothly, ndio maana tumempa kisheria power ya kuwachagua wasaidizi wake, ili wamsaidie katika kutekeleza sera hizo za ccm,
Mabalozi ni moja ya wasaidizi wenyewe, katika kumsaidia mwenyekiti wa ccm ambaye ni rais wa jamhuri, kutekeleza sera hizo, na ndio hasa nia na madhumuni ya kula kiapo cha utiiifu mbele ya rais, ndio maana rais aliposhindwa kumfukuza kazi waziri Mbilinyi, na Idd Simba, waliitwa kwenye kikako cha ccm na kufukuzwa kazi, hakukuwa na any complains kwamba kwa nini wamefukuzwa kazi na ccm, au wao wenyewe kwenda mahakamani,
Lakini mkurugenzi mmoja wa benki kuuu alipofukuzwa kazi na rais alikwenda mahakamani na kumshinda rais ambaye pia likuwa mwenyekiti wa ccm, kwa sababu kazi yake hakupewa na mwenyekiti wa ccm ambaye ni rais!
Mahalu anawashitaki media, lakini sio rais maana anajua kuwa alipewa kazi hiyo na rais ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa ccm, na shinikizo la kufukuzwa kwake lilitoka kamati kuu ya ccm, chama ambacho rais kama mwenyekiti wake anajaribu kutekeleza sera zake, kamati kuu ya ccm ilikutana kujadili hatima ya mkuu wa polisi Mahita, WHY? kwani yeye si mkuu wa polisi wa wa-Tanzania wote, ndio lakini amepewa kazi hiyo na mwenyekiti wa ccm, ambaye pia ni rais wa jamhuri, ili kumsaidia kutekeleza sera za ccm ambazo, ccm wamepewa mandate na wananchi wa Tanzania kwa aslimia 80%, katika uchaguzi uliopita!
Katika siasa, chama kimoja kinaposhinda kwa kura 80%, inamaana kwamba ilikuwa NONE-CONTEST, halafu ina maana chama kilichoshinda automatically, kimepewa mandate na wanachi kutawala as they see it ot be fit! Isipokuwa kukiwa na kura 51% kwa 50%, then walioshinda yaani 51% wanatakiwa kusikiliza na kuzitekeleza pia sera za 50%, until then ccm wana wajibu wa kutekeleza sera zao, as they see it fit na mabalozi wetu nje ni wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm katika kutekeleza hizo sera za ccm!
But, yes! ninaona some ishus au data ndani ya post yako ambazo sina uhakika nazo na siwezi kusema kuwa hazipo, lakini siwezi kuzigusa!
Mzee Bob,
Heshima mbele, unayosema ni kweli kabisaa, ndio maana ninasema kuwa ikifikia hapo kwenye velvet, siasa ni lazima ifike to an-end! na bungeni kwetu tunahitaji kuwa na vote of confidence kwa rais wetu na viongozi wetu tunapokuwa na wasi wasi nao kuwa mambo ya huko velvet huenda yanatumika kututawala!