Mods na Mkulu Invisible,
Heshima mbele wakuu, unajua kuna tunao lala macho kuweka credibility na heshima ya hii JF mbele, sasa mnaporuhusu lugha za chooni kama hizi za huyu Mkora, mnatuambia nini?
Kwanza asimamishwe na maneno haya yafutwe, halafu I have a feeling huyu mtu alishwahi tena kutumia maneno kama haya akitumia jina lingine,
I mean haiwezi ku-get lower than this!
MKuu Sasa kama unalala macho kwa ajili ya baraza kazi saa ngapi ?au ndio nyonyo (Income support) hilo linalokupa jeuri ukifuatilia atakuambia ana PHD labda ya kusaini Job center
Pesa wanazo nyingi tu za kutetea ufisadi kwa girini la kufungua vyama!CCM Mysore yasimamia ukweli.....
Mohamed Shein (HUYU NI MTOTO WA dR.mOHAMED sHEIN MAKAMU WA RAIS TZ)akitoa machache kwa wanachama
wa CCM Mysore.
Mjumbe wa CCM Taifa, Ndg .Nape M. Nnauye akiwahutubia vijana wa Kitanzania waishio Mysore-India katika siku ya kusheherekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tar 26/4/2008,Nape alisisitiza umuhimu wa Vijana wasomi kuwa pamoja na chama chao na kuleta mafanikio kwa nchi yao,baadhi na niliyanukuu.."VIJANA TUAMKE NA KUJADILI JUU YA TANZANIA TUNAYOITAKA.CCM BADO NI CHAMA IMARA LICHA YA MISUKOSUKO INAYOKIKUMBA SASA KUTOKANA NA BAADHI YA MAKADA KUKUMBWA NA KASHFA MBALIMBALI KAMA ZA UFISADI..MUUNGANO NI MOJA YA MATUNDA AMBAYO CCM INAJIVUNIA SANA LEO KWANI NI SERA YAKE NA NDIO WAASISI.
Nimeikuta mahali,bahati mbaya picha zimekataa kidogo,ntazitundika.But kikubwa tujadili sasa mwenendo wa haya matawi kuona dhumuni lake maana tulishawahi sema hapa 'time will tell'...kikubwa hapa hasa hayo maneno au husia wa kijana Nape kwa wasomi na vijana...lakini pia angalieni orodha ya wanaounda tawi hili;
.Nape Moses Nnauye
.Mohmed Ally Shein..mtoto wa VIP TZ
.Edward Nyange-mtoto wa Mmama Kilango Malecela
.Kuna mtoto wa Jaji Makeme
.Mtoto wa mkuu wa chuo kilichokuwa cha chma Kivukoni..Dr.Magoti nk
Twende sasaa--------------------------------------------------------------------------------
Hii Ni Njia Wanatumia Watu Kujenga Umaarufu Ili Wakija Bongo Waweze Kuingia Kwenye Siasa/serikalini Kirahisii Think Division Is Wot's Gonna Happen Here..watanzania Tukikutana Huwa Tuna Umoja Sana Na Tukiongea Siasa Tunajadili Na Kuwa Wazi Kwa Matatizo Ya Nyumbani Bila Kujali Nani Ni Nani Nyumbani..sasa Limekuja Hili Group Ambalo Kama Ni Viziwi..propaganda Kibao..they End Up Making A Fool Of Themselves And The Tanzanian Community As A Whole..untill They Give Us Legitimate Reasons To Why They Are Doing This..i Will Personally Keep On Critising (keep In Mind Mimi Sio Cuf, Sio Chadema Sio Nccr..mzalendo Tuu)..im Jus Shocked At How Some Of Our Brothers And Sisters (ambao Wamepata Bahati Ya Kuwa Nje Kujionea Systems Of Accountability Na Kuona Tanzania From A Different Angle) But They Are Still So Ignorant Of The Situation Back Home Utafikiri Hawana Ndugu Vijijini Wanaotaabika..inauma Sana!
Je Kwa Kufungua Haya Matawi Wanatuambia Tulio Huku Kwamba Wamefurahishwa Na Yanayotokea Nyumbani Chini Ya Uongozi Wa Ccm??
Bila Kusahau Pia Hii Ni Njia Wanayotumia Mabalozi Kuonesha Wanachapa Kazi. Kumbe Wapi Ni Upuuzi Mtupuhii Ni Njia Wanatumia Watu Kujenga Umaarufu Ili Wakija Bongo Waweze Kuingia Kwenye Siasa/serikalini Kirahisi
Kwa maisha ya wengi wangapi una data zozote kwani mshahara ni siri ya mtu nadhani
Walalahoi wengi sana wako ulaya kaka,kwa kuwa hakuna kampeni huko na hawapigi kura hawana sababu ya kuwa na vyama vya siasa.Nionavyo mimi, suala si kuanzisha matawi ughaibuni, suala ni akina nani wanauwezo wa kufika ughaibuni? angalieni hiyo orodha hapo juu, kwa mtu mwenye akili yake inaashiria nini kama si sawa na yale yale ya BoT ambapo mafisadi/wakubwa wamejaza watoto wao ili waendelee kulinda mirija yao. Hala hala mti na macho.
Jamani yale mapinduzi yaliyofanyika urusi miaka hiyo hatuwezi kuyajaribu? nina maana wanyonge waji-organize kuchukua nchi yao iliyotekwa na hao 'the elite' ambao kama mnavyoona wanaendelea kuandaa watoto wao waendeleze ufisadi. Au njia gani mbadala tunaweza kuitumia angalau basi wanaondaliwa kuwa viongozi wa kesho na watoto wa wakulima wawemo? Haya sasa...........
Wapi Marekani wanakotaka kufungua hilo tawi? Kama ni kweli mimi sioni ubaya wowote....
Nasikia tetesi kuwa wanataka kufungua tawi la CCM nchini Marekani. Je wana JF kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa wanataka kufungua mtambo mwingine wa kuzalisha VIMAFISADI nchini Marekani. Can this be true ?