Huwa nashindwaga kuwaelewa watu wanaotokaga na hao jamaa.
Hawa wote wapo Dar,Kundi lao wapo watatu na demu mmoja wapo sana mitaa ya Kinondonihapo kama sio Unguja basi ni Mombasa au Tanga
Hawa wote wapo Dar,Kundi lao wapo watatu na demu mmoja wapo sana mitaa ya Kinondoni
Hawa wote ni wakazi wa Magomeni na wanapatikana sana Kwa Frank Pub na Lango la jiji, ukipata nafasi ya kusikia story zao za jinsi walivyoanza huo umarhun unaweza kulia, wengi wao wameharibiwa na ndugu zao wa damu kabisa, kwa sababu ya haya mambo ya kiafrika ya kulaza watoto wadogo na watu wazima chumba kimoja bila kuwa na ufatiliaji! Na wengine ni boarding zetu za kiswahili hizi! Huyo mmoja anaitwa Bilal mashauzi, ana wenzake kina Aunt Khamis na wengine wengi, wako kibao!
Hawa warembo mara nyingi nawakutaga pale Katumba Bar Kinondoni na shost wao Lulu kimwana wa Twanga Pepeta
Mkuu Bofloooooo, waitwa huku yakheeeeh!wapi boflo?