Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 317
Mkuu acha uhuni kuna serikali ya mapinduzi tu!Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
na yule wa imani nyingine anayeona mambo yenu ni ya uongo aje naye achome misikiti moto? kweli kukosa akili ni gharama kubwa sana...!Sisi tunachukia mnavyoeneza uongo ili mpate majumba na magari kwa JINA LA YESU, huku mkitolewa mapepo na kuombewa utajiri ! TUNAKATAA IBADA HIZO hakufundisha Bwana YESU wala wafunzi wake !
Ati Mungu ana Mwana, hali ya kuwa wenye wana wote wana Wake Zao!
hivi wewe unamuamini yesu au s.a.w? au wewe/nyinyi ni nani mpaka muwapangie wakristo wafanye mafundisho mnayotaka nyinyi?Sisi tunachukia mnavyoeneza uongo ili mpate majumba na magari kwa JINA LA YESU, huku mkitolewa mapepo na kuombewa utajiri ! TUNAKATAA IBADA HIZO hakufundisha Bwana YESU wala wafunzi wake !
Ati Mungu ana Mwana, hali ya kuwa wenye wana wote wana Wake Zao!
Namwamini Yesu, kama ninavyomuamini Musa, Zakari, Ayub, Yakuub,Yona, Daud, Seleiman, Ibrahim, Noah, Imran, Yohana Mbatizaji, Is'haka, Ismael !hivi wewe unamuamini yesu au s.a.w? au wewe/nyinyi ni nani mpaka muwapangie wakristo wafanye mafundisho mnayotaka nyinyi?
Lengo ni Taifa la kiislam Zanzibar na inshaallah tutafika.
Akili ya njiwa
Naona bado wanasiasa hawalichukulii hili suala la muungano kwa uzito unaostahili. Wanakwepa kabisa kuliongelea. Badala yake wanatumia polisi kuzima opinions za watu. Yanayoendelea Zanzibar ni early warning tuu ya kitakachofuata kama wanasiasa hawatawasikiliza wananchi wa huko na ku-address kile wanachokitaka.
Narudia tena: sovereign lies to the people, not to the rulers. If the people of Zanzibar want their sovereign back, then give them their sovereign. How they will exercise their sovereign is none of our business. Otherwise, kuna uwezekano mkubwa damu ikamwagika Zanzibar kama wanasiasa wataendelea kukaa kimya huku wakitumia polisi.
Kuna Vikanisa uchwara vingi sana siku hizi.. vyenye wachungaji waendesha hummer na V8s! siku wakichoma KKKT au RC ndio ntawashangaa ila hivi vikanisa uchwara hivi kwanza ni bughudha tupu