Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

Ni vigumu sana kuamini maneno haya ikiwa kwa masikio yetu tunasikia kila siku mahubili ya UAMSHO yakiitaja Zanzibar kuwa ni nchi ya waislam. Kwa maana nyingine hata punje ndogo ya wakiristo wanaishi Zanzibar si halali kuwepo katika visiwa hivyo, kwa kuwa wao tu wanaamini katika dini tofauti.
 
Tanganyika tunawalea vibaya hawa jamaa. Tunashindwa nini na sisi kuwakamata Wapemba na Waunguja walio jaa huku Bara na kuwapakia warudi kwao? Tunafaidika na nini kutoka Zanzibar? Wamekuwa wanachoma biashara za watu wa Bara serikali ya Ccm inakaa kimya sasa wao wanaona ni haki yao. Tuamke tusiburuzwe na watu milioni moja jamani!hata kama ni ndoa isiwe ndoano
 
Nyie uamsho sijui ulalavi ni waoga tu, kumbe wachumba tu. Wenzenu kule Mogadishu na Baghdad, Kabul na sasa Damascus huwa wanajitoa muhanga. Lakini nyie hatujaona hata mmoja aliyetoa damu yake kudai nchi ya ahadi ya Zanzibar kwa kuwa mnaogopa kuziacha hela mlihongwa na watu wa Hizbu. Kudai nchi kwenye meza ya majadiliano na kupitia katiba mpya ndio suluhisho na sio kufuata matakwa ya Hizbu muigeuze Zanzibar kuwa Mogadishu kwa tamaa ya fedha za wasioitakia mema Zenji. Kila dalili za Taliban zimo ndani ya hili kundi la Uamsho. Huenda ni tawi la Al Qaeda
 
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo (picha: Salma Said)
330618527.jpg


Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120 (picha: Salma Said)
702327231.jpg


Katibu wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheikh Abdallah Said Ali ambaye ni miongoni mwa wanaotafutwa na jeshi la polisi akizungumza na Radio DW asubuhi mapema kabla ya taarifa ya kutafutwa kwao kutolewa kwa vyombo vya habari (picha: Salma Said)
186216916.jpg


Source:
wavuti - wavuti
 
Sisi tunachukia mnavyoeneza uongo ili mpate majumba na magari kwa JINA LA YESU, huku mkitolewa mapepo na kuombewa utajiri ! TUNAKATAA IBADA HIZO hakufundisha Bwana YESU wala wafunzi wake !
Ati Mungu ana Mwana, hali ya kuwa wenye wana wote wana Wake Zao!
 
Mzaire acha kupindisha ukweli,Makanisa ya Zanzibar yanachomwa na Wahuni waKiislam wasiokuwa na uvumilivu wa tofauti zinazokana na mitazamo tofauti ya kidini,pia kusema kwamba Wakristo warudi bara ni kukosa hekima na busara,na inaonyesha kwa uelewa wako mdogo unadhani hakuna Wazawa wa Zanzibar ambao ni Wakristo,fanya utafiti vizuri utagundua jamii ya wakristo iliyopo Zanzibar ni ya Wazawa wa Zanzibar na wageni pia.Ni juu ya Viongozi wa dini ya Kiislam mashehe,nk kuwafundisha waumini wao vizuri ili watambue umuhimu wa kuishi kwa amani na watu wenye mitazamo tofauti ya kidini (Wakriso na dini zingine).
 
Hawa uamsho ni magaidi washugulikiwe haraka kabla hawajota mizizi!!
 
Sisi tunachukia mnavyoeneza uongo ili mpate majumba na magari kwa JINA LA YESU, huku mkitolewa mapepo na kuombewa utajiri ! TUNAKATAA IBADA HIZO hakufundisha Bwana YESU wala wafunzi wake !
Ati Mungu ana Mwana, hali ya kuwa wenye wana wote wana Wake Zao!
na yule wa imani nyingine anayeona mambo yenu ni ya uongo aje naye achome misikiti moto? kweli kukosa akili ni gharama kubwa sana...!
 
Sisi tunachukia mnavyoeneza uongo ili mpate majumba na magari kwa JINA LA YESU, huku mkitolewa mapepo na kuombewa utajiri ! TUNAKATAA IBADA HIZO hakufundisha Bwana YESU wala wafunzi wake !
Ati Mungu ana Mwana, hali ya kuwa wenye wana wote wana Wake Zao!
hivi wewe unamuamini yesu au s.a.w? au wewe/nyinyi ni nani mpaka muwapangie wakristo wafanye mafundisho mnayotaka nyinyi?
 
Vurugu hizi zisingekuwepo kwa sasa kama haliya maisha ya mtanzania ingelikuwa na viashiria vya kuyamudu. Sasa hivi mfumuko wa bei na hali ngumu ya maisha imeondoa tumaini la kuishi. Wape hawa wazanzibari tumaoni la milo mitatu kwa siku kama utaona vurugu zozote.
Hata hivyo njaa mliyosababishiwa na nyinyiem mbona mnaimalizia kwenye makanisa? Kwani kibano mlicho nacho ni kanisa limewapa?
.
 
Kama mnataka chanzo cha vurugu ni polisi kumkamata sheikh wa uamsho akiwa anafanya ibada msikitini na nadhani hapo ndipo serikali ilipoingia choo cha kike kwani hata wasiopenda vurugu katikb ule msikiti walihamaki.
 
hivi wewe unamuamini yesu au s.a.w? au wewe/nyinyi ni nani mpaka muwapangie wakristo wafanye mafundisho mnayotaka nyinyi?
Namwamini Yesu, kama ninavyomuamini Musa, Zakari, Ayub, Yakuub,Yona, Daud, Seleiman, Ibrahim, Noah, Imran, Yohana Mbatizaji, Is'haka, Ismael !
 
“Without knowledge action is useless and knowledge without action is futile.”
*(The Islamic philosopher Abu Bakr)*
waliofanya hivyo they real dont know who is their true enemy. Baada ya Muungano kufa mtaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe maana ubaguzi hauishii hapo. Mfano mzuri Libya.
 
Naona bado wanasiasa hawalichukulii hili suala la muungano kwa uzito unaostahili. Wanakwepa kabisa kuliongelea. Badala yake wanatumia polisi kuzima opinions za watu. Yanayoendelea Zanzibar ni early warning tuu ya kitakachofuata kama wanasiasa hawatawasikiliza wananchi wa huko na ku-address kile wanachokitaka.

Narudia tena: sovereign lies to the people, not to the rulers. If the people of Zanzibar want their sovereign back, then give them their sovereign. How they will exercise their sovereign is none of our business. Otherwise, kuna uwezekano mkubwa damu ikamwagika Zanzibar kama wanasiasa wataendelea kukaa kimya huku wakitumia polisi.

Tatizo kubwa la viongozi wetu wanafikiria ya jana na leo sio ya kesho, maana yake hawana future kabisa ila kuangalia ya jana na nini wanahitaji sasa.

Timu ya mpira ina kawaida ya kusajiri wachezaji kila mara ili kujiimarisha. Tofauti CCM inafikiria ilivyofunga goli mwaka juzi basi mchezaji huyo hata kama kiwango chake kimeshuka Abaki kwenye usajili kwa huruma ya kufunga goli mwakajuzi ingawa kiwango chake kimeshuka na hataisaidia timu ushindi, huu ni ubinafsi na mtazamo finyu mno.




OUR FUTURE IS TOMORROW NOT YESTERDAY
 
Kuna Vikanisa uchwara vingi sana siku hizi.. vyenye wachungaji waendesha hummer na V8s! siku wakichoma KKKT au RC ndio ntawashangaa ila hivi vikanisa uchwara hivi kwanza ni bughudha tupu

Hamna bughudha kama ya kuamshwa saa 11 alfajiri tena wikend kwa vipaza sauti ambavyo havikuhusu eti swalaa swalaa!, tunavumiliana tu!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom