Tatizo la Muungano ni Uislam siyo Wazanzibari

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
IMG_6248.png

Ni ajabu sana kuona watu walio wamoja kwa makabila na tamaduni leo wanajitafautisha kwa misingi ya mkoloni na kujiona ni watu tofauti kabisa richa ya kua ni watu walewale fikaaa.

Ingawa mkoloni kawa ni chanzo kikubwa za watu kujitofautisha lakini pia imani alizoacha mkoloni ndio imekua chanzo kikubwa cha watu kujitenga hata kama ni wamoja.

Katika hili Uslam ndio sababu kubwa ya watu kujitenga na jamii zao maana usilam mara nyingi huwa vuta watu upande wa waarabu na kujiona waarabu au kuona makao makuu yapo uarabuni na kuwatenga na jamii zao

Mifano:
Pakistan kutoka India (wote ni wahindi lakini ni chui na paka)
Chechenia ilitaka kujitenga kutoka Russia
Kossovo

Hivo tatzo kubwa la kujitenga kutokana na dini kwene usilam ni kawaida kwasababu ya ubaguzi au kushindwa kugeuza serikali kua ya kiislam kama vile matamanio ya waislam wengi yanavokuwaga.

Hivo bas Zanzibar inasumbuliwa na vitu viwili:
1. Mabaki ya waarabu
2. Dini ya uislam

Waarabu mabaki wanatamani kurudisha serikali yao ambayo waliikalia nchi kama yao ilihali walipoka kabla hawajatimuliwa na watu wa bara.

Dini
Kama zanzibar ingekua haina usilam kusingekua na harakati za kujitenga au kubeza muungano. Kungekuepo na dini nyingine kusingekua na tofauti kabisa wote tungekua nchi moja. Lakini wazanzibar wamekua wakifundishwa kujibagua na kujitenga kama ambavyo sehemu nyingine duniani zimekua zikifanya kutokana na dini hiyo. Kwao ni bora muarabu awatawale kuliko kuwa nchi moja na watu wa dini nyingine

NB: Ni mawazo yangu binafsi.Nawaza kwa sauti haina maana ya chuki au ubaguzi

MATUSI yataonesha rangi yako halisi
 
Una chuki zako binafsi juu ya uislam. Matokeo ya kasumba na matangopori uliolishwa kanisani.

Ukristo unafundisha..."waache wafu wazikane" Mathayo 8 21-22.. hii ni baada ya Mwanafunzi Kuomba ruhusa kuhudhuria mazishi ya baba yake aliyekufa wa dini nyingine. Alinyimwa ruhusa kwa kauli hiyo hapo!

Umoja gani unauhubiri hapa?!!
 
Una chuki zako binafsi juu ya uislam. Matokeo ya kasumba na matangopori uliolishwa kanisani.

Ukristo unafundisha..."waache wafu wazikane".. hii ni baada ya mtu Kuomba ruhusa kuhudhuria mazishi ya ndugu ya aliyekufa wa nyingine. Alinyimwa ruhusa kwa kauli hiyo hapo!

Umoja gani unauhubiri hapa?!!

Nenda kwenye maada
Maada haihusu ukristo wala usilam
inaongelea kiini cha mgogoro wa zanzibar
 
Watanganyika walio wengi ni wamejaa upumbavu kama humu mleta mada.
Nyinyi kila siku humu mnashinda mnalalamika kuwa muungano ni wakitapeli na bora uvunjike lakini wakati huo huo mnalalamika wazanzibar kutaka kuuvunja muungano sasa tuwaeleweje?

Kuhusu Pakistan kilicho fanya Pakistan ijitenge ni sababu za kisaasa na sio za kidini maana idadi ya waisilamu walioko ndani ya India ni kubwa zaidi ya mara 2 ya waisilamu waliko Pakistan.
 
Hadi hii Leo wanamlaumu John Okello kwa kuhanikiza Mapinduzi ya Zanzibar.
Member mmoja mashuhuri humu alilalamika sana kuwa Waarabu wasio na hatia waliuliwa bila huruma siku ya Mapinduzi.

Wazanzibari wengi ukiwauliza kwa kutulia utasikia wanasema.
Mimi Babu yangu alikuwa Mwarabu,
Mimi Shangazi yangu alikuwa Mwarabu.
Mimi Wajomba zangu walikuwa Waarabu.
Utawasikia Babu wa Bibi yangu mzaa mama ni Mwarabu.
Wazanzibari wengi ukiondoa hawa Wamasai wanataka waitwe Waarabu.
Utawasikia, Shehe huna habari Kuna Waarabu weusi kupita hata mimi na nywele za kipilipili.
Bila Muungano tungeletewa Misaada moja kwa moja kutoka Maka na Saudia, tungekuwa kama Dubai Shehe.

Wapeni Nchi Yao Wafurahi pamoja na Waarabu na Uislamu wao.
 
Ni kitu ambacho hatuwezi kuruhusu kitokeee! mtumwa hafai kushika nchi
 
Back
Top Bottom