Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

Hii serikali ya kikwete imelala usingizi wa pono sana, hivi watu wanachoma kanisa! Bado mmelala tu! Je? Na hawa waliochomewa wakisema wachome msikiti!?.
 
We nitukane tu nimekuruhusu ukishindwa hadharani hata inbox ingia kwani jina lako halina tofauti na maoni yako ..... na kwanini nisiandike mambo kama yale wakati ni ukweli .... ?? lile kanisa moja kubwa linawatosha wakristo wachache walio zanzbar .. huu mtiririko wa kuanzisha makanisa mtaani ya nini kama kwenye mtaa wakristo hata 10 hawafiki ..?

Acha Udini wewe, hata wakijenga kumi mtaa mmoja huoni mwishoni yakikosa waummini yatatumika kama (Rehab) NGO's za kuwaweka wala unga kibao waliojaa huko Zenj sababu ya kukosa maadili mema jamani?

Usilete roho mbaya ya Wakujilipua wa huko West, Watanzania hatuna kasumba hiyo sisi wakristo na waislam tumekuwa tukiheshimiana
 
Muungano ukivunjika na ndoa yangu itakuwa mashakani. Jamani tuuenzi Muungano :(
 
Acha Udini wewe, hata wakijenga kumi mtaa mmoja huoni mwishoni yakikosa waummini yatatumika kama (Rehab) NGO's za kuwaweka wala unga kibao waliojaa huko Zenj sababu ya kukosa maadili mema jamani?

Usilete roho mbaya ya Wakujilipua wa huko West, Watanzania hatuna kasumba hiyo sisi wakristo na waislam tumekuwa tukiheshimiana

Josephine03 have you been SUN BATHING too much that the heat has got to your brain ? ... kama kuongea ukweli ni udini wacha niwe mdini tu & aim proud of that
 
Baada ya kutawanywa jana majira ya saa nne za usiku Wazanzibar na wanaUamsho kwa pamoja wanaodai zanzibar huru wanaendelea na fujo za hapa na pale huku maeneo ya mji mkongwe na viunga vyake kumekua na uchomaji wa matairi ya gari na rapsha,zogo n.k hukui askari wakipiga mabomu,nawaasa wale mnaokwenda kanisa la mkunazini na la minara miwili kuwamakini na ukizingatia kanisa la kariakoo limeshapigwa kiberiti.

Makanisa yamewakosea nini ndugu zetu waislam?Kwa nini mnatuchomea makanisa yetu tunayoyatumia ktk kumuabudu Mungu huyu huyu mnaempigania?Uislam inafundisha kufanya hivi mnavyofanya sasa hivi?
 
madrasatul ndio inawatuma wabebe mabomu kujitoa muhanga,sitashangaaa ikiwatuma wachome moto makanisa,,,
mabomu ya kujilipua yako very affective, yaaani mtu mmoja anaondoka na watu mia hivi ! Halafu hujui ana strike wapi, saa ngapi na ni nani ?!
 
Lengo ni Taifa la kiislam Zanzibar na inshaallah tutafika.

Usijali kwa hili unalolishabikia mtafanikiwa na mtasonga mbele kwa kubaguana ninyi wenyewe kwa wenyewe kwa makabila yenu/rangi/utajiri na mwisho Wa siku kisiwa kitakuwa empty kazeni buti
 
Tunasema tena na tunasisitiza kwamba UAMSHO haihusiki na uchomaji moto wa Makanisa, kwasababu tayari kumekuwepo na hila za Wakristu tokea harakati za Uhuru wa Zanzibar kunza na wamekuwa wakifanya hila nyingi ili waonekane wanatengwa na kubughudhiwa na hata kuyachoma moto makanisa yao wenyewe (mfano kanisa la mwera wilaya ya magharibi) na kuwashtumu waislam kumbe walikuwa wantaka msaada wa kulitanua.

Hili tokeo la jana ucku tayarii tuna kila aina ya ushahidi ya kuwa wao wenyewe (wakristu) ndio walichoma moto kanisa lao kwa kutumia vurugu zile na kuwataja waislam kama ndio walochoma, huu wa wakristu ni upuuzi wala hauingii akilini kwanza, kwa kuzingatia kanisa lipo kwenye kambi kuu ya polisi, na pia kama kweli waislam walikusudia kuchoma moto basi lisingali baki hata udongo, lakini cha kushangaza mara baada ya moto dakika chache fire walikuja kuonesha kuwa ni mbinu ilioratibiwa vizuri na hasa ukichukulia masafa ya kambi ya fire iliko si rahisi hata kidogo kuwahi kuuzima moto huo.

Na ikiwa wakristu wamechoka kuishi na wazanzibari bora warudi huku Tanganyika wasisababishe uvunjifu wa amani na vijikesi vya kipuuzi kama hivi.

mzaire!!!! Naona ulihusika vya kutosha maana toka ujiunge juzi jizi hapa sread zako ndio hizi tuuuuu!
 
Lete ushahidi wa maandiko acha porojo! .....

zanzibar ni kisiwa cha waislam ..... wakristo wachache kanisa moja la mkunazini linawatosha ...

Wazanzibari na Waislam ambao tunajali utu na amani tuache kushabikia mambo ya shari, mimi nafanya biashara zangu huku tukuyu ambako ni bara na kuna wakiristu wengi lakini sibaguliwi kwa dini yangu wala uzenj wangu, tusipoangalia tutakuja jutia matendo yetu,dini ya uislam inatakiwa iwe ni mfano kwa jamii na isitumike kuwa kisingizio cha kuleta ubaya kwa watu ambao hawajakukosea, hii tabia nadhani inafanywa na kikundi fulani kisicho na maadili na kina malengo ya uovu. Ee Mola tuepushie shari.
 
madrasatul ndio inawatuma wabebe mabomu kujitoa muhanga,sitashangaaa ikiwatuma wachome moto makanisa,,,

Don't be so silly, Ndivyo ulivyofundishwa Sunday school hivi...!! btw HAVE'NT YOU GOT ANY DISHES TO WASH RIGHT NOW.. ??? WOMAN..?!:der: so unashinda kuandika pumba tu hapa!
 
mabomu ya kujilipua yako very affective, yaaani mtu mmoja anaondoka na watu mia hivi ! Halafu hujui ana strike wapi, saa ngapi na ni nani ?!

kisa upate bikira 72 na pepo,poleni,hao wanawake am sure hawana bikira za mbele wala za back.......mtaisoma number!
 
Wazanzibari na Waislam ambao tunajali utu na amani tuache kushabikia mambo ya shari, mimi nafanya biashara zangu huku tukuyu ambako ni bara na kuna wakiristu wengi lakini sibaguliwi kwa dini yangu wala uzenj wangu, tusipoangalia tutakuja jutia matendo yetu,dini ya uislam inatakiwa iwe ni mfano kwa jamii na isitumike kuwa kisingizio cha kuleta ubaya kwa watu ambao hawajakukosea, hii tabia nadhani inafanywa na kikundi fulani kisicho na maadili na kina malengo ya uovu. Ee Mola tuepushie shari.

Afadhali ya ww uliyeliona hili na kutoa maelezo ya kina wambie maana jamaa hawaelewi kbs hawa!kila cku hawaachi vituko!
 
Back
Top Bottom