Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 793
Mimi ni mkristo, lakini katika hili nadhani Wakristo wanaoendekeza vurugu za kudai kuchinja wanakosea. Haya ni matokeo ya hisia za kulipiza kisasi, jambo ambalo Yesu alilikemea sana. Acheni Waislamu waendelee kuchinja, kwani tangu tulipoanza kula vilivyochinjwa, hatujawahi kuona dosari kwenye nyama! Mkristo ukitaka, chinja nyumbani kwako. Basi.
Na ng'ombe utachinjia nyumbani kwako mzee? Hapa wala hakuna suala la imani, suala ni maslahi. Baada ya waislam kubeba mapanga na kuweka msimamo wa kuwa kuchinja ni haki yao exclusive wakristo wakahoji "kwa nini?", jibu la waislam kuwa kuchinja ni ibaada ndiyo liliwastua wakristo wengi kutoka usingizini na kuhamaki kuwa wanalishwa