Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

poleni sana wandugu sasa haya hayavumiliki nchi haitawaliki na ni dhahili kuwa ccm imeshindwa kutuongoza
 
Wenje yuko wapi mtetezi wa wamachinga. Nimemwona mama mmoja kachanwa kichwa upande wa sikio anavuja damu mwili mzima.!!
 
amani na utulivu aka peace and love - our key peformance after 50 yrs of independence. i can see.
 
Wanaendelea kuua tu bila kujali,hivi kumuondoa machinga inahitaji mabomu na risasi?
 
oooh mwanza nakulilia....mwanza mwanza mwanza
hivi hili jeshi letu mpaka lini haya mambo? yaani kukabiliana na maandamano ni hadi waue raia? natamani sana askari walioshiriki katika operesheni hii wakirudi nyumbani wabaini mmoja wa aliyefariki ni jirani/ndugu/rafiki zao; sijui hapo watajiskiaje.
 
Masikini Mwanza yangu! Maisha haya ya polisi na risasi zao na sisi yataisha lini?
 
Hapo ni pagumu; Halmashauri inaongozwa na CDM inawasababishia vifo wananchi kwa kutumia askari wa serikali inayoongozwa na CCM. Kuna mtu anamlaumia mkurugenzi Jiji, kwani yeye si mtekelezaji wa yale yaliyopitishwa na Halmashauri inayoongozwa na CDM?
 
r i p wote mliokufa kwa kudai haki yenu mungu azilaze roho zao peponi amina.

RAI YANGU: MKUU KWANI BADO UJAPATA NCHI YA KWENDA KWANI YAKUPASA KUJIUZURU KWA MAMBO HAYA..
 
watu takribani 30 wamepigwa sana na kukamatwa kisha kupelekwa central. Police wanapiga watu kama wanyama. Kuna mtoto mdogo of about 5-7yqs naye kaumizwa sana, sina uhakika either ni police au kaanguka, anavuja damu sana mdomoni nahc katolewa meno kadhaa.
 
vkosi vya miili ya watu wa 5 imepelekwa Bugando mc na majeruhi kibao,,
 
mwenye habari atupashe zaidi..nimesikia kwenye clouds fm kwamba mwanza kuna vurugu na kuna watu wamepigwa risasi!!
 
Back
Top Bottom