Kwanini watendaji wa kata na wakurugenzi wanatumia madaraka yao kupokonya haki ya wengi?je hawakujiandaa na vyama vingi vya siasa nchini?navyoona mimi hawa watendaji hawajui nafasi waliyonayo na wajibu wao kazini.wamekuwa wakitumiwa na chama cha magamba kupokonya haki ya wengi kidemokrasia,hii ni hatari sana maana wanahamasisha vurugu na kutoweka kwa amani nchini.ccm siamini kama wataachia madaraka kwa amani,maana wamekuwa mabingwa wa kujitangaza hata kama wameshindwa.mfano,kilichotokea moshi na dar es salaam iwe fundisho kwa wenye tabia kama hiyo.
Taarifa kupitia ITV sa 2 leo tarehe 8/1 mtendaji wa serikali ya kijiji kapewa kipigo kikali kwa kosa la kubandika matokeo yanayoonyesha mgombea wa ccm kuwa mshindi badala ya wa NCCR.
alipata kichapo baada ya hapo wananchi wakamshurutisha amtangaze mgombea wa NCCR. Naomba kama kuna aliye na nyongeza aongezee au kurekebisha hapa. Ila kiukweli nimeipenda hii, juzi na jana maeneo kadhaa ya dsm viongozi wa ccm wamepewa kichapo kwa kosa hilo hilo la kuwatangaza washindi feki,
Naomba adhabu iwe kali zaidi
haa haa yaani mnavuruga makusudi halafu ili hao walioshinda waende mahakamani? Ama kweli nimeamini ccm wanahubiri amani midomoni halafu moyoni wanahubiri vita na vurugu. Watendaji wa namna hii walipaswa kufukuzwa kazi mara moja.Haisaidii kuandaa makundi ya vijana kuwapa fedha na viroba pamoja na kuwahonga waandishi wa habari suluhu ya hatua iliyofikiwa ni kupinga matokeo mahakamani na siyo kujitwalia sheria mikononi
mkuu kwa hapo monduli watu wananunuliwa kama njugu. Ccm hushinda kwa hujuma na sio haki.Huku munduli kwa el wamechakachua mitaa yote Cmd iliyoshinda kwa Kuwatumia Policemccm na watendaji then wanatangaza munduli wameshindwa 100%. Mccm majizi ya kuraaa
Ukitaka kujua watanzania ni mambubumbu wa sheria na taratibu angalia tukio la moshi,sheria anayepaswa kutangaza matokeo ni ofisa mtendaji wa kijiji na siyo wa kata yaani hicho kikundi cha wana nccr mageuzi kilichoandaa waandishi wa habari kimebugi step kabisa lakini kubwa issue hizo katika hatua ya sasa zinatakiwa kupelekwa mahakamani

Kijana chunga sana, unaniita kubwa jinga wakati dadayako anafurahia maisha hapa.. eti baby hebu nichumu basiii.... Enheee umesikia tena uendelee nilikwambia ukiendelea kuleta dharau namtimua dada ako. Na Anavonipenda sijui utampooza na nini..? kama hukacbonga jeneza..!!
Hebu mwache dadako ale maisha acha wivu kama huna hela ya kande njoo uchukue usitupigie kelele hapa....!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
Ukitaka kujua watanzania ni mambubumbu wa sheria na taratibu angalia tukio la moshi,sheria anayepaswa kutangaza matokeo ni ofisa mtendaji wa kijiji na siyo wa kata yaani hicho kikundi cha wana nccr mageuzi kilichoandaa waandishi wa habari kimebugi step kabisa lakini kubwa issue hizo katika hatua ya sasa zinatakiwa kupelekwa mahakamani
haa haa yaani mnavuruga makusudi halafu ili hao walioshinda waende mahakamani? Ama kweli nimeamini ccm wanahubiri amani midomoni halafu moyoni wanahubiri vita na vurugu. Watendaji wa namna hii walipaswa kufukuzwa kazi mara moja.