Tanzania Kwanza 2015
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 452
- 165
Na nnasema mtapigwa....
Hawa Ghasia awawajibishe watendaji hawa wazembe
Acha kutuchefua, mahakama wananchi ndio wanaweza kuhukumu kwa sababu wao ndio walengwa wa tukio. Mnataka kutumia mgongo wa mahakama kuhujumu haki!! Eti kesi inachukua miaka 5 hadi 6 kutoa maamuzi. Mbinu yenu hiyo ishapitwa na wakati, kipigo tu kitarudisha fahamu zenu "na watapugwa tu"
Wanakijiji ndo waliamua mtendaji kata atangaze matokeo?!
Kama sio wao, umbumbumbu unakujaje mkuu? Au mbumbumbu ni wewe usie elewa nani ka-appoint mtu wa kutangaza?