Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

Zile nyakati za kuwadhulumu Watanzania haki zao kwa kukingiwa kifua na mahakama za majaji wa escrow zimekwisha. Kama hujagutuka bado basi kalaghabao.

Hatutakubali kufanywa misukule na CCM, tutalinda kura zetu mpaka mwisho! Wamezoea kuiba kura, na kutuona sisi ni wajinga ila days are numbered!
 
Taarifa kupitia ITV sa 2 leo tarehe 8/1 mtendaji wa serikali ya kijiji kapewa kipigo kikali kwa kosa la kubandika matokeo yanayoonyesha mgombea wa ccm kuwa mshindi badala ya wa NCCR.

alipata kichapo baada ya hapo wananchi wakamshurutisha amtangaze mgombea wa NCCR. Naomba kama kuna aliye na nyongeza aongezee au kurekebisha hapa. Ila kiukweli nimeipenda hii, juzi na jana maeneo kadhaa ya dsm viongozi wa ccm wamepewa kichapo kwa kosa hilo hilo la kuwatangaza washindi feki,
Naomba adhabu iwe kali zaidi

Ombi lako tumelisikia, na tutalifanyia kazi barabara....! Yaani CCM imekua kituko kabisa, namshangaa Kinana anajifanya mara kuendesha toroli, mara kulima, mara kupiga plasta, mara kuchuma chai; kwenye ziara zake. Hajui kinachoendelea kabisa! Tutawapa discipline. Jambo jema ni kua, police wametuhakikishia hawatatudhuru, manake nao wamechoka.......!
 
baada ya kuipata hii habari hapa jf nimekimbilia kwenye TV taarifa ya saa 5usiku hapa nilipo sina mbavu! wananchi wakati akisoma alitamka namnukuu; kulingana na matokeo ya karatasi hii,wananchi wakamwambia, sema fomu ya matokeo.............

Hahahahaaaa.....! Asante Mungu, watanzania umewapa ufaham na woga umeondoka! Ombi langu kwa Mungu azidi kuwafungua watanzania.
 
Hahahahaaaa.....! Asante Mungu, watanzania umewapa ufaham na woga umeondoka! Ombi langu kwa Mungu azidi kuwafungua watanzania.

Mkuu mimi nimecheka sana jana hadi nikashikwa na kikohozi, na leo tena naona umeanza kunikumbushia tena, yani hapa sina mbavu baada ya kusoma comment zako
 
Mtafaruku uliotokea jana pale Moshi.. Vunjo, wakati wananchi wakimpiga mtendaji alipotangaza matokeo visivyo....
Jamani wananchi, hebu tujadiliane hili... kwa nini kiongozi mwenye dhamana ya serikali atangaze matokeo visivyo wakati ni msimamizi wa wananchi.... Hii si haki.
 
Hii ni muhimu sana. Ujumbe muafaka kabisa kwa wananchi ambao wameanza kuhoji namna magamba yanavyopata ushindi tangu enzi. Kumbukeni hata 1995 CUF ilishinda kule Zanzibar na hata Komandoo alishakimbilia Bara ila through agizo la Mwl. matokeo yalichakachuliwa kwa kugeuzwa. Ulaghai wa magamba ni wa tangu enzi!
 
Mwaka 2014 ni mwaka wa vichapo kwa watu kama hawa,uchaguzi mkuu mwaka 2015 kulingana na uzito wa uchaguzi adhabu itapanda na kuwa ya kifo.
 
inamaana ana miaka 40 halafu bado anakaa na wazazi, au bado anakutegemea wewe shemeji yake.

Mkuu huyu kijana bure kabisa..!! badala ya kunishukuru kwa kumlelea dada yake bule, yeye analeta dharau. Wakati yeye anashinda nazurula siku saba za wiki bila mpangilio wala kazi yoyote...!!

Ni katika zurula zurula yake, akajikuta huyu hapa Zenji..!!! Bahati yake nzuri siku hiyo alikuwa amevaa ile jezi ya yanga niliyomwachia kipindi kile kwa kuogopa laana za ccm.!! basi ndo akavaa, imeoga vumbi huku ikiwa imekunjamana,imechakaa utafikiri imetoka mdomoni mwa ng'ombe..!!! Wakakutana na kijana mwingine akamwambia Makamba Jr anagawa Smartphone (Alijua ni mwanaccm mwenzake maana ni kawaida kwa. maccm kuwa wachafu na wasiopenda usafi) Nadhani unazikumbuka zile Smartphone..!!!!

Basi toka ameipata ile simu ndo anaitumia hapa mtandaoni kunishutumu na kunisimanga, anesahau jezi yangu niliyompa (Ingawaje aliichakaza na kuichafua sana) ndiyo iliyomfanya akapata hiyo smartphone.!!!

Sasa mimi nasema akiendelea kunizingua namtimua dadake tuone kama ataweza kumhudumia Mjinga sana huyu.

BACK TANGANYIKA
 
Mwaka huu nikipondo kwenda mbele mpaka washike adabu nchi nzima
 
Habari zenu wanabodi.

Nimejarbu kutafakari yaliyotokea Vunjo na kwingineko ktk zoezi la kuapishwa Viongozi wa Serikali za Mitaa...

Nimejifunza haya yafuatayo

1. Ni kutokana na ulevi wa Madaraka... Viongozi wetu wamelewa madaraka.. Wanafikiri wanaweza kufanya lolote watakalo. Ndio maana mshindi ni A anaapishwa B.

2. Serikali kutotambua / kutothamini nguvu za Wananchi. Nguvu ya wananchi ktk kufanya maamuzi imeporwa na wahuni wachache.....

Serikali inapaswa kuelewa kuwa Wananchi wasasa si wale wa Ndio mzee...

Wananchi wa sasa wanatambua mamlaka yao.. Wanatambua nguvu waliyo nayo juu ya Serikali.

NB:
Nashauri serikali iwawajibishe wote waliochangia huu uhuni.
 
Unaandika as if kila mtu alikuwepo huko Vunjo au kila mtu anafahamu kilichotokea huko Vunjo!

Hivi kwenye shule zenu hizo za kata topic ya insha ilifutwa?!
 
you can full some people sometimes but you can full all the people all the time
 
Habari zenu wanabodi.

Nimejarbu kutafakari yaliyotokea Vunjo na kwingineko ktk zoezi la kuapishwa Viongozi wa Serikali za Mitaa...

Nimejifunza haya yafuatayo

1. Ni kutokana na ulevi wa Madaraka... Viongozi wetu wamelewa madaraka.. Wanafikiri wanaweza kufanya lolote watakalo. Ndio maana mshindi ni A anaapishwa B.

2. Serikali kutotambua / kutothamini nguvu za Wananchi. Nguvu ya wananchi ktk kufanya maamuzi imeporwa na wahuni wachache.....

Serikali inapaswa kuelewa kuwa Wananchi wasasa si wale wa Ndio mzee...

Wananchi wa sasa wanatambua mamlaka yao.. Wanatambua nguvu waliyo nayo juu ya Serikali.

NB:
Nashauri serikali iwawajibishe wote waliochangia huu uhuni.

Ndo nini sasa? Usipaniki bro?!
 
Kinacho nishangaza ni kwamba kila KOSA linapofanyika basi aliyeshindwa wa CCM ndiye hutangazwa mshindi.

Sijaona hao watendaji na wakurugenzi wakifanya KOSA la kumtangaza aliyeshindwa wa UKAWA kuwa ndiye mshindi.

Kwanini KOSA hili linafanyika kwa CCM tu WALIOSHINDWA kupewa USHINDI?! I smell rat
 
Unaandika as if kila mtu alikuwepo huko Vunjo au kila mtu anafahamu kilichotokea huko Vunjo!

Hivi kwenye shule zenu hizo za kata topic ya insha ilifutwa?!

Nenda kabisheni na watoto wenzako.
 
Hivi leo hakuna mwenyekiti au mtendaji aliepokea kichapo, maana juzi na jana zilikuwa siku nzuri sana.
 
Haisaidii kuandaa makundi ya vijana kuwapa fedha na viroba pamoja na kuwahonga waandishi wa habari suluhu ya hatua iliyofikiwa ni kupinga matokeo mahakamani na siyo kujitwalia sheria mikononi

Acha kutuchefua, mahakama wananchi ndio wanaweza kuhukumu kwa sababu wao ndio walengwa wa tukio. Mnataka kutumia mgongo wa mahakama kuhujumu haki!! Eti kesi inachukua miaka 5 hadi 6 kutoa maamuzi. Mbinu yenu hiyo ishapitwa na wakati, kipigo tu kitarudisha fahamu zenu "na watapugwa tu"
 
Kichapo kwenye masanduku ya kura na baada ya hapo kulinda kura. .. yeyote atakae leta zengwe kuchakachua apigwe tu maana tumeisha choka....
 
Back
Top Bottom