Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

Huu ni mwaka wa maamuzi magumu, mtu yeyote atakayehujumu maamuzi ya wananchi atakua nihalali yetu na tutamfanya vile tunavyotaka, vyombo vya dola ni mali ya ccm vijiandae kisaikolojia

Wewe kaa nyuma ya computer huna msaada wowote kwa taifa
 
Aisee nimependa sana hii,wapi Nape aje achukue mtu wake?au atoe tamko!
 
NYONGEZA:
Baada ya kumpa kipigo, wananchi walimpa nakala za matokeo zenye sahihi za wagombea wote na zinazoonyesha mshindi ni mgombea wa NCCR. Ikabidi ajitetee kuwa alipata shinikizo kutoka mamlaka za juu kuwa kata hiyo iende CCM. Basi basi baada ya hapo akamtangaza na mgombea halali wa NCCR.

Safi sana!!! Na ilitakiwA wambane kwa kichapo mpaka amtaje kwa jina huyo aliyemwagiza kufanya hivyp ili vku nyingine tujue jinc yakudeal nae ... na wapigwe tuu
 
Hawa ccm walizoea kushinda kwa hila na uwizi, sasa wananchi wamejitambua. Mimi nawaomba watanzania wote tuhakikishe tunajiandikisha na kupiga kura. Atakayechakachua tu shughuli iwe ni kipigo kitakatifu. Tusisuburi jeshi wala mamlaka kwani zinatumika kwa maslahi ya ccm. Halafu viongozi wa dini jioneeni wenyewe kile chama kinachowataka muiombee amani nchi yetu jinsi kinavyovuruga amani ya nchi kwa kugeuza maamuzi ya umma. Kwa mwendo huu nchi yetu itapata viongozi waliotokana na umma na watatumikia umma na sio mabwana na matumbo yao.

Wewe huna akili rudi shule
 
baada ya kuipata hii habari hapa jf nimekimbilia kwenye TV taarifa ya saa 5usiku hapa nilipo sina mbavu! wananchi wakati akisoma alitamka namnukuu; kulingana na matokeo ya karatasi hii,wananchi wakamwambia, sema fomu ya matokeo.............
 
Team Lumumba oyeee, wananchi watekeleza kwa vitendo kauli ya pm(waziri mkuu)
 
taarifa kupitia itv sa 2 leo tarehe 8/1 mtendaji wa serikali ya kijiji kapewa kipigo kikali kwa kosa la kubandika matokeo yanayoonyesha mgombea wa ccm kuwa mshindi badala ya wa nccr.

Alipata kichapo baada ya hapo wananchi wakamshurutisha amtangaze mgombea wa nccr. Naomba kama kuna aliye na nyongeza aongezee au kurekebisha hapa. Ila kiukweli nimeipenda hii, juzi na jana maeneo kadhaa ya dsm viongozi wa ccm wamepewa kichapo kwa kosa hilo hilo la kuwatangaza washindi feki,
naomba adhabu iwe kali zaidi

wapigwe tu maana tumechoka
 
Amtaje aliyemshinikiza kumtangaza aliyeshindwa.
 
Angalia hili kubwa jinga kazi kunywa pombe tu kazi kutia hasara tu

Kijana chunga sana, unaniita kubwa jinga wakati dadayako anafurahia maisha hapa.. eti baby hebu nichumu basiii.... Enheee umesikia tena uendelee nilikwambia ukiendelea kuleta dharau namtimua dada ako. Na Anavonipenda sijui utampooza na nini..? kama hukacbonga jeneza..!!

Hebu mwache dadako ale maisha acha wivu kama huna hela ya kande njoo uchukue usitupigie kelele hapa....!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hiyo ndo ccm, kama imeweza kuwaibia wananchi mchana kweupe, je hazina Yao iko salama? Viongozi wa dini wanaoambiwa waiombee amani ya nchi kwa hali hii wanaridhika? Malalamiko haya ya ccm kuchakachua na kutangaza na kuapisha walioshindwa yako nchi nzima. Tungekuwa makini kama mataifa mengine hawa ghasia na pm walipaswa kujiuzulu mara moja. Hawa hawana upendo wa dhati na taifa letu bali wanaliangamiza.
 
Watendaji hawako huru, wengi wanapelekeshwa na wakurugenzi wao kwa mapenzi yao kwa ccm. Baadhi ya wakurugenzi na maafisa utumishi wa wilaya wanawatisha hao watendaji kwamba wahakikishe kuwa ccm inashinda katika maeneo yao.
 
Huku munduli kwa el wamechakachua mitaa yote Cmd iliyoshinda kwa Kuwatumia Policemccm na watendaji then wanatangaza munduli wameshindwa 100%. Mccm majizi ya kuraaa
 
Taarifa kupitia ITV sa 2 leo tarehe 8/1 mtendaji wa serikali ya kijiji kapewa kipigo kikali kwa kosa la kubandika matokeo yanayoonyesha mgombea wa ccm kuwa mshindi badala ya wa NCCR.

alipata kichapo baada ya hapo wananchi wakamshurutisha amtangaze mgombea wa NCCR. Naomba kama kuna aliye na nyongeza aongezee au kurekebisha hapa. Ila kiukweli nimeipenda hii, juzi na jana maeneo kadhaa ya dsm viongozi wa ccm wamepewa kichapo kwa kosa hilo hilo la kuwatangaza washindi feki,
Naomba adhabu iwe kali zaidi

wanaotangaza washindi feki wahasiwe (castration by burdizzo method)
 
Back
Top Bottom