VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Naona harufu ya poit 40 tayari tayari......
 
Naona harufu ya poit 40 tayari tayari......

Hizo mbona zipo tu mkuu,
msemaji wa yanga hapa jamiiforum mkuu mkolaj vipi kuhusu coutinho kwani sijamuona kitambo kweli dimbani.
 
Last edited by a moderator:
Hizo mbona zipo tu mkuu,
msemaji wa yanga hapa jamiiforum mkuu mkolaj vipi kuhusu coutinho kwani sijamuona kitambo kweli dimbani.
Hajapona, bado majeruhi.
 
Last edited by a moderator:
Naona yanga 'A' na yanga 'B' (JKT RUVU) Zinaingia uwanjan.
 
Mpira unaanza hapa uwanja wa taifa.
jkt ruvu 0-0 yanga.
 
Mshindi anajulikana ... wanacheza kukamilisha ratiba.
 
Back
Top Bottom