VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

Unajua kama kocha wa JKT Ruvu ni Minziro? na Minziro alivyo na mapenzi na Yanga hadi hufikia kulia Yanga inapofungwa.
Ha ha ha haaah,,,,,,kwa hiyo leo akiwafunga yanga atamwaga chozi.
 
Kona ya pili kuelekea jkt ruvu.
Dak ya 7. bado 0-0
 
Dak ya 15, jkt ruvu 0-0 yanga
 
Dak ya 20 bado jkt ruvu 0-0 yanga.
 
Ngassa anakosa goli la wazi dakika ya 22.
 
Dak ya 30, jkt ruvu 0-0 yanga.
 
Back
Top Bottom