VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Elias maguli....gooooooooooooool. ndanda 0 simba 1.
 
Hapa Taifa ndala anacheza rafu kweli

Huo ndio mpira wao tumeuzoea. Ndiyo maana kijana Singano kila akipata mpira anaangalia Yondani au Twite wako wapi ndio anapopitia. Matokeo yake Yanga Steve analia eti Refa wanaonea...
 
Taifa raha sana.
Washambuliaji wa Yanga wanacheza kama washambuliaji wa taifa staz na beki ya Ruvu inacheza kama beki ya taifa staz ndio maana mpaka sasa 0-0
 
Daaah bao safi sana kutoka kwa Maguri, inaniuma sana timu yangu ya Ndanda....
 
Taifa raha sana.
Washambuliaji wa Yanga wanacheza kama washambuliaji wa taifa staz na beki ya Ruvu inacheza kama beki ya taifa staz ndio maana mpaka sasa 0-0
Yanga hakuna timu pale.ni mababu fc timu ya magazeti
 
Back
Top Bottom