Maajabu ya Yanga African msimu huu

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Je wajua ?!

Imebaki timu moja pekee katika timu (16) ambayo haijapoteza dhidi ya Yanga SC msimu huu mpaka sasa !!

Mbeya city

Simba sports club - x 1
Namungo fc - x 1
Azam fc - x 2
Geita gold - x 3
Kagera sugar - x 2
Polisi Tanzania - x 1
KMC football club - x 2
Dodoma jiji - x 1
Mtibwa sugar - x 1
Biashara United - x 2
Ruvu shooting - x 1
Coastal Union - x 1
Tanzania Prisons - x 1
Mbeya kwanza - x 1
.
.
Je wajua timu tano walizoambiwa Yanga na baadhi ya wachambuzi pamoja na Rage kuwa watapoteza mechi zimeisha ?!

1 - 0 Geita gold
2 - 0 KMC football club
2 - 1 Azam fc
2 - 1 Namungo fc
0 - 0 Simba sc
.
.
Je wajua kuwa Mayele hajazifunga timu (3) pekee kati ya timu (16) ?

Polisi Tanzania ()
Ruvu shooting
Tanzania Prisons
.
.
Je wajua Mayele hajawahi kukaa mechi tatu bila kufunga bao ligi kuu ?!
.
.
Je Wajua Mayele katika mechi (7) za mwisho ligi kuu hajafunga bao kwenye Mchezo mmoja pekee ?!

Mtibwa sugar
Kagera sugar
Geita gold
KMC football club
Azam fc
Namungo fc
Simba sc
.

Je wajua ?!
 
Mayele anavyoimbwa utafikiri Mugalu hajawahi kufanya hivyo, hakika utopolo ni utopolo.
 
Mayele anavyoimbwa utafikiri Mugalu hajawahi kufanya hivyo, hakika utopolo ni utopolo.
Unaweza kwenda na laki moja night club unafanya mbwembwe kubwa watu wakakushangaa kuliko mwenye million mfukoni

Inategemea namna unavyojiweka

Klabu yetu imeamua kukuza kila kitu ili kukipa thamani oohooooh
 
Je wajua kuwa Yanga ndiyo timu pekee kati ya timu zilizoshiriki michuano ya kimataifa iliyoondolewa mashindanoni katika hatua za awali?
 
Mambo yalianza kama hivi, tangu hapo kolo hajagusa kilele.
Screenshot_20220502-152315.png
Screenshot_20220502-152053.png
 
tupe za Mugalu number hazidanganyi
Mugalu aliisaidia Simba kuibuka na ushindi wa goli 4-0 katika mechi dhidi ya USGN, kwani alipachika mabao mawili, na kuifanya Simba itinge hatua ya robo fainali kwa mara nyingine katika michuano ya CAF
 
Mugalu aliisaidia Simba kuibuka na ushindi wa goli 4-0 katika mechi dhidi ya USGN, kwani alipachika mabao mawili, na kuifanya Simba itinge hatua ya robo fainali kwa mara nyingine katika michuano ya CAF
Na ile match ya Jwening Galaxy alifunga ngapi?
 
Mwenye kumbukumbu tulifungwa lini
yaan yanga tushasahau kufungwa
hata GOOGLE ukiseach hawana kumbukumbu mara ya mwisho yanga ilifungwa lini
20220503_105006.jpg
 
Back
Top Bottom