VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

kama kipa Wa ruvu shooting ana gloves ajiandae kuvuliwa na washirikina Wa yanga
 
ndanda watashuka pambaff watafungwaje na mikia

Alafu wewe nilijuaga tu utakuwa Ndala aka vigagula FC, kuna siku uliikana timu yako ukadai wewe ni Azam, ila kwa chuki ulionayo kwa Simba, wee Yanga! Nilikwambiaga mtz yeyote, utashabikia timu yeyote lakini ndani lazima kuna simba au yanga, ukakataa kabisa! Sio lazima mtu mtz aliyekulia tz aseme mi yanga, akiichukia Simba, bhaasi!! Ila pole mazee, naona mnyama ndo kaamka sasa watu hofu, ila usijali, Manu champions league msimu ujao hawakosi!
 
Huu mfumo wa KAPUNOVIC sio NDANDA tu, timu nyingi sana zitafungwa!

Jamani PLUJIM na OMOG nani ataanza kutimuliwa?
 
Elias Maguri Gooooooooooo.....mwaka huu wataishabikia tu hata moyoni.
Ndanda kiduara Simba 2
 
Hapa vigagula kuna hatari ya kupewa sucker punch a.k.a coup de grace!
 
Kandambili sioni kama kuna lolote hatpa taifa.
 
Back
Top Bottom