grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Msuva leo anakosa kosa sana nafasi ya tatu ya wazi anakosa...
Ndiyo kocha alivyomwelekeza
Msuva leo anakosa kosa sana nafasi ya tatu ya wazi anakosa...
"Yanga ni wa kawaida sana, na jumamosi tutawaonesha shoo taifa"
Hawana tofauti na Ndanda FC
Hawana tofauti na Ndanda FC
yanga wamekuwa watamuuuuuu
dua la kuku halimpati mwewendanda watasawazisha dakika ya 85
Wamekua watamu kama Mcharo.
Huyu refarii anayechezesha game ya ndanda vs simba sijui ameokotwa wapi??? poor performance
Huyu refarii anayechezesha game ya ndanda vs simba sijui ameokotwa wapi??? poor performance
Simba hii sasa sifaaaa