Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
inaonekana yanga tishio sana, mbona inaongelewa sana?
Mpira umemalizika hapa Nangwanda ndanda 0-2 simba,
inaonekana yanga tishio sana, mbona inaongelewa sana?
Nipeni Matokeo Ya Azam Tafadhali
Nipeni Matokeo Ya Azam Tafadhali
Yeboyebo kalazwa leo na MASWAU BWILE.
Full time: Ndanda 0-2 Simba. Kwa hisani ya TBC Taifa.
c.c Makoye Matale,aione kwenye fileFull time: Yanga 0-0 Ruvu Shooting; kwa hisani ya TBC Taifa.
Yanga 0 - 0 Ruvu Shooting, mechi imeisha!