VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Msuva leo anakosa kosa sana nafasi ya tatu ya wazi anakosa...
 
Ha ha ha ha. Kumbe ni jirani yangu huku TBT Bima eeenh!

Mkuu karibu hap k.b paradise tupige bieree uku tunaangalia mpira wa maana achana na yanga hao ni wachawi..!
 
THEJEWDA katuandikia Simba 1-1 Ndanda, je ni sahihi? Maana Mkolaj ndo umesema utakuwa live kutoka Nangwanda
 
Half time hapa Nangwanda ndanda fc 0-1 simba
 
Kutoka uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ni half time. Yanga 0-0 Ruvu Shooting
 
Aaaha jamani tutajieni vikosi kamili vinavyoanza leo! Haswaa kikosi cha wana fainali wa Afrika 1993 kilichoanza leo SSC
 
Back
Top Bottom