Ila tambua iyo mitandao. Kuna mgombea urais wa chama furani anausika na anahisa za kutoshaa. Ivyo kazi ni kwako
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
Ipo hivi
bahati nzuri sana huwa situmii voda kwa netKampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
Hapa hakuna namna nyingine zaidi ya kuhamia airtel. kwa jinsi mavifurushi ya hawa MBWA yalivyokaa, ukinunua bundle saa 5:59 usiku, ifikapo saa 6 usiku (midnight) KINAYEYUKA! Vodacom oyeeeeeee!
Ila tambua iyo mitandao. Kuna mgombea urais wa chama furani anausika na anahisa za kutoshaa. Ivyo kazi ni kwako
Huu ukoje mkuu?Net haisumbui?
Nitanunua kitochi niweke airtel nitumie huo mtandao maana hali ni mbaya.
ni mtandao mpya wa simu unaitwa HALOTEL unazinduliwa rasmi trh 15 october saivi wako kwenye majaribio ndo natumia hizo 5Gb , dk 300 na free sms halotel to halotel
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...ushi-/-/1597296/2888924/-/pajv1i/-/index.html ingia hapo ujue ukweli wa mambo.mzee anarudisha gharama zake alizotumia kununulia chama...
bado ghali tutamsubiri Halotel