Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

de solver

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
24
Reaction score
44
Habari wakuu naunga bando za Vodacom unlimited popote ulipo

file_0000000033b08211bf69b8d069293302.png

VIGEZO
1. Pesa ya kifurushi chako
2. Laini ya Vodacom ya kuwezesha kifurushi
3.Namba ya mawasiliano ya Vodacom
4.Imei ya kifaa chako(Router)

Huduma hii nakuhudumia ukiwa popote
0765 991 551
 
Yani bado mpo kwenye 10Mbps kwa 70K?

Mnachekesha nyie!

Huku kwingine 70K tunapewa 25Mbps.

100K tunapata 40Mbps.
 
Kazi nzuri.naomba kuuliza kike cha 10Mbps 10 kwa 115,000 hakipo siku hizi.
Currently natumia cha 60k 10mbs lakini ni taka taka aisee kina load balaa.
Je hicho cha 70k uhakika?
Unatumia kifaa gani cha wifi
 
Back
Top Bottom