Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,308
- 1,423
Hao jamaal wameli sana net yao haina speed kea maeneo mengi sana.TTCL kuna bundle tamtam 1.2GB kwa wiki na dk kadhaa
Hao jamaal wameli sana net yao haina speed kea maeneo mengi sana.TTCL kuna bundle tamtam 1.2GB kwa wiki na dk kadhaa
Hamna ofa ya namna hiyo voda mkuuMbona hata voda 1500 unazipata hizo GB
Wala sio ofa ya chuo hata wewe ambaye sio mwanachuo unatumiaHiyo ni offer ya chuo lakini
Cheki ya kwako tu ofa
Bado mnanunua GB1 kwa 2000 hamia zantel mkuuKiboko yao ni Tigo, 2000 unapata dk 250 na gd 1.3 kwa wiki nzima
Halotel nimewakataa, unaweza nunua 1GB halafu ukashindwa kuitumia, mtandao wao ni wa KobeVoda naitumia kwa M-Pesa (kwa kuwa ipo sehemu nyingi vijijini) na kwa kuwapa namba yangu wanaohitaji kunipigia. Kwa internet na salio la kupiga ni HALOTEL.
Cheki ya kwako tu ofaHuku kwangu naona bado wameshikilia uzi ule ule.
View attachment 1812644
Watanyooka tu ni mwendo wa zantel kwenda mbeleHata mimi laini ya tigo juzi walinitumia sms kama hiyo kwamba kwa Tsh 1,000 napata GB1, dakika 50 na sms 100 siku 3.
Tsh 1,500 napewa zaidi ya hapo kwa wiki moja... Nilishangaa sana maana miezi mingi ilipita bila kuweka laini yao vocha.
Nakubali haya makampuni yameanza kunyooka maana mara ya mwisho kucheck vifurushi vyao ilikuwa wananipa MB 350 kwa Tsh 1,000 alafu ndani ya masaa 24
*149*03#Hamna ofa ya namna hiyo voda mkuu
Kwa pesa hiyo zantel unapata 1.5 GB na dakika 160 mitandao yote. 500 sms juuNilishaachana na vodacom wapuuzi.Nipo tigooooo,1500 GB 1.2 siku 7.
Na chip yao naitupa hawa voda
Pole mkuu ijaribu zantel hutojutaCha kushangaza naminywa namna hii lakini sihami as if nimechanjiwa huko...Laki wapi, 10 kwa wiki. Na hapa wameshusha baada ya kipindi kile walivyopandisha 5000 GB 2
Kwakweli Vodacom wajirekebishe.
Hahaha kwahiyo mkuu unataka kuniambia voda wameshatosheka na mapato ya udhamini wa ligi kuu?Wala hawajanyooka... Wamewanyoosha! Wameshapiga ndefu ya kufuru
Huo ndio ujinga wao. Bando zao zinaenda kasi.Tangu wanipige 2,500 na laini yao nilivunja.
Unajiunga bando saa 1 usiku la GB 2.saa 3 usiku siku hyo hyo bando limeisha.
Ukiwapigia simu wanakwambia bando lako lipo,ukiangalia salio bando hamnaa.
Wanataka wale wasioweka vocha wahamasike kuweka ndio maana wanawapa ofa. Na ukishakuwa regular customer lazima utawekwa high value customer. Huko hamna cha ofa wala nini ni mwendo wa kukukwanguaWana upendeleo sana, ukiwa unaweka salio muda wote hupati offer, wanapewa wasionunua kivile
Upo sahihi halotel nimewakataa mtandao wao unahitaji marekebisho ya hali ya juuHolotel? Inaelekea huna matimizi makubwa na muhimu kwa internet, iko slow mno
Dawa kutoweka salio, sijaweka salio miezi 6 sasaSijawahi ona kampuni wezi kama hii, yani unajiunga bando halaf kimaajabu tu unashangaa mb zimeisha kwa kasi ya kimiujiza. Yan wapo kiwiziwizi tu!!
Pole wewe ni high value customer ofa utaisikia kwenye bomba. Jaribu uangalie ya kwako tu ofaUnaingiaje Mie najaribu hiyo ya buku siipati nakuta ya elfu tatu GB 1.2.
Njoo zantel wana mtandao wenye kasi kama vodacom tu, na wana cheap price kuliko mitandao yote, tatizo watanzania hatupendi kujaribu kitu kipya. Mie nimejaribu nimeshazamia huko tayari.Hata mimi nimeshangaa hizo offer! Wanatuibia sana sana ila siwezani na speed ya internet ya mitandao mingine.