VODACOM wameanza kunyooka

Voda naitumia kwa M-Pesa (kwa kuwa ipo sehemu nyingi vijijini) na kwa kuwapa namba yangu wanaohitaji kunipigia. Kwa internet na salio la kupiga ni HALOTEL.
Halotel nimewakataa, unaweza nunua 1GB halafu ukashindwa kuitumia, mtandao wao ni wa Kobe
 
Hata mimi laini ya tigo juzi walinitumia sms kama hiyo kwamba kwa Tsh 1,000 napata GB1, dakika 50 na sms 100 siku 3.

Tsh 1,500 napewa zaidi ya hapo kwa wiki moja... Nilishangaa sana maana miezi mingi ilipita bila kuweka laini yao vocha.

Nakubali haya makampuni yameanza kunyooka maana mara ya mwisho kucheck vifurushi vyao ilikuwa wananipa MB 350 kwa Tsh 1,000 alafu ndani ya masaa 24
Watanyooka tu ni mwendo wa zantel kwenda mbele
 
Cha kushangaza naminywa namna hii lakini sihami as if nimechanjiwa huko...Laki wapi, 10 kwa wiki. Na hapa wameshusha baada ya kipindi kile walivyopandisha 5000 GB 2
Kwakweli Vodacom wajirekebishe.
Pole mkuu ijaribu zantel hutojuta
 
Tangu wanipige 2,500 na laini yao nilivunja.
Unajiunga bando saa 1 usiku la GB 2.saa 3 usiku siku hyo hyo bando limeisha.
Ukiwapigia simu wanakwambia bando lako lipo,ukiangalia salio bando hamnaa.
Huo ndio ujinga wao. Bando zao zinaenda kasi.
 
Wana upendeleo sana, ukiwa unaweka salio muda wote hupati offer, wanapewa wasionunua kivile
Wanataka wale wasioweka vocha wahamasike kuweka ndio maana wanawapa ofa. Na ukishakuwa regular customer lazima utawekwa high value customer. Huko hamna cha ofa wala nini ni mwendo wa kukukwangua
 
Hata mimi nimeshangaa hizo offer! Wanatuibia sana sana ila siwezani na speed ya internet ya mitandao mingine.
Njoo zantel wana mtandao wenye kasi kama vodacom tu, na wana cheap price kuliko mitandao yote, tatizo watanzania hatupendi kujaribu kitu kipya. Mie nimejaribu nimeshazamia huko tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom