Vodacom waja na......

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,065
1,195
Naona leo kuingia kwenye menu *149*01# nimekutana na hiii

cheka zogo,...ambayo utaweza kupata dakika za kupiga voda -voda


tsh 495- dakika 30/saa 24

tsh 645 dakika 45/saa 24

tsh 995 dakika 90/saa 24

dakika zote hizo ni kupiga vodakomuuu kwenda vodakaziiiii ni kwako!!!
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,792
2,000
Naona leo kuingia kwenye menu *149*01# nimekutana na hiii

cheka zogo,...ambayo utaweza kupata dakika za kupiga voda -voda


tsh 495- dakika 30/saa 24

tsh 645 dakika 45/saa 24

tsh 995 dakika 90/saa 24

dakika zote hizo ni kupiga vodakomuuu kwenda voda


kaziiiii ni kwako!!!
  • Je kupiga mitandao mingine kuna maboresho yeyote?
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Atleast minutes zina sound !
Ila kama ni voda kwenda voda still ni ---- !

I wish them out of luck !
 

SaidAlly

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
2,261
2,000
Na bado waache wagombane sokoni mpaka itakapofikia 100MB kwa shilingi 500 na kupiga simu bure. Maana kuna technology inakuja ambapo magari, umeme na kila kitu kitatumia MB kwa wote watahamia huko.

Chezea technology.....watashuka tu wote.
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Na bado waache wagombane sokoni mpaka itakapofikia 100MB kwa shilingi 500 na kupiga simu bure. Maana kuna technology inakuja ambapo magari, umeme na kila kitu kitatumia MB kwa wote watahamia huko.

Chezea technology.....watashuka tu wote.


Sasa 100MB at 500/= kwa speed ya kijinga hii si wizi tu huu !

Ingekuwa 4G sawa ! Japo haiwezekani !
 

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
hivi hii mitandao haijagundua kuwa watumiaji wengi now ni vijana upande wa internet? maana wanatunyanyasa sana kha!!
VODA KASHUSHA MB
TIGO KASHUSHA MB
AIRTEL KASHUSHA
ZANTEL KASHUSHA
SMILE GHARAMA
hahaha tabu kweli kweli!!
#WTF
 

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,065
1,195
Kama wanavyojidai

VODA--KAZI NI KWAKO

AIRTEL--HATOKI MTU

TIGO--EXPRES YOUR SELF

hivi hii mitandao haijagundua kuwa watumiaji wengi now ni vijana upande wa internet? maana wanatunyanyasa sana kha!!
VODA KASHUSHA MB
TIGO KASHUSHA MB
AIRTEL KASHUSHA
ZANTEL KASHUSHA
SMILE GHARAMA
hahaha tabu kweli kweli!!
#WTF
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Hahaha!!
Ingekuwa hivo
hzo 4GB tungekoma na speed.. Kama isingekuwa 0.000000001kb


You ain't understand well sir !

I've sayed 4G i mean speed ! n not bytes 4GB ! (Data volume)

if you know how to read you may see that !
 

privacy

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
1,353
2,000
Mimi napenda kusikia promotion za MB tu, maana huko ndio kunakonigharimu.

Hata kwangu bora dakika na hizo SMS zao ziwe chache ila MB ndo zijazwe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

privacy

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
1,353
2,000
Ila mi naona kama wangeweka kuwe na specification za kuchagua kama utahitaji ma mb yako au madakika.

Enjoy++

Kweli iwepo bei ile ile ila uchague upendelewe MB nyingi Sms chache na dk chache & vice versa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom