Vodacom waja na......

Vodacom waja na......

Kilio changu ni kwenye data tu hivi vinginevyo sihitaji

Kaka kama ni data jaribu airtel hii huduma mpya ya switch on!! Ni hatari hata ushinde siku nzima unaangalia video online spidi ni ile ile, nimehangaika sana ila kwa sasa nimefika.airtel noma.
 
inategemea na sehemu ulipo!!! japo huduma ni bomba

Kaka kama ni data jaribu airtel hii huduma mpya ya switch on!! Ni hatari hata ushinde siku nzima unaangalia video online spidi ni ile ile, nimehangaika sana ila kwa sasa nimefika.airtel noma.
 
voda na bundle zao za kinyimi watajiungisha wenyewe... wanabana mb kama nini
 
Kaka kama ni data jaribu airtel hii huduma mpya ya switch on!! Ni hatari hata ushinde siku nzima unaangalia video online spidi ni ile ile, nimehangaika sana ila kwa sasa nimefika.airtel noma.

Sio kwamba sijajaribu airtel tatizo ninapokaa hapa Internet majanga yaani mda wote network inasoma edge utafikiri sio dar
 
Back
Top Bottom