nimejiunga tena cha ajabu leo sms ndo zimekubali calls na data vina kula pesa kama kawaida na niko ndani ya chuo la sivyo inge kataa kujiunga kama ilivyo kwa C6 hapoMkuu umejaribu kutumia voda wap? Maana kihalali simu inatumia access point ya wap. Hii wap ina limit vitu vyengine hufany so maybe net yao wameieka huko.
Change access point
Weweeh, mbona hiyo ya MASUKI inasomeka tuu! Nikutajie?
hahahahaha ww unaznguaa ww... ingekua ya demu ungepigaaaa..... angalia usjepewa ban la maishaaaaa
jibu toshaaa.....
nlichofurah n kwamba inaonesha ww n mtu makini sanaaa .. hzo namba olizo zifuta kwenye hyo screen shot.. safi sanaa...... ila umeniangusha kitu ki 1.. unatumia edge...
teh teh teh
Ha ha ha haa! umenichekesha Mkuu! Hakuna haja ya kumpigia mtu ambaye humfahamu, waweza pata kesi buuure! Lakini sema ukweli, si kale kanamba kanasomeka?
jibu toshaaa.....
nlichofurah n kwamba inaonesha ww n mtu makini sanaaa .. hzo namba olizo zifuta kwenye hyo screen shot.. safi sanaa...... ila umeniangusha kitu ki 1.. unatumia edge...
teh teh teh
Edge ya voda eneo langu inarange 25 mpaka 30 kilobytes per second inaipita 3g ya airtel
nurbert na NnyaMbwate acheni utundu, nilifuta haraka haraka, jamaa akiniambia mmesumbua nawapa ban ya siku mbili
mamaaa... you cant be seriouz.. mm stafanya hvoo labda@nnymbwate
me nipo ndani ya chuo na nimejiunga imekubali sms pekeake voice na data inakula pesa.Mkuu umejaribu kutumia voda wap? Maana kihalali simu inatumia access point ya wap. Hii wap ina limit vitu vyengine hufany so maybe net yao wameieka huko.
Change access point
me nipo ndani ya chuo na nimejiunga imekubali sms pekeake voice na data inakula pesa.
hamna kitu chief nimejaribu saana hiyo but hali ile ile, may be because nina bundleMkuu nnachomaanisha access point ya kawaida yaani ya internet inaweza kua haijasetiwa na hio internet tengeneza access point ya wap yaani apn iwe wap.vodacom.co.tz
Wewe ndo ulikua unamsuport angalia Thread ya Pawaga kumbe na wewe ni K tuu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kuna mtu anajiita PAWAGA kanitapeli mpk leo yupo kimya asee etii anaunganisha laini za vyuo kumbe mpiga madeal tu
Acha matusi nilizibitisha before lkn now kabadilika jamaa kawa tapeliWewe ndo ulikua unamsuport angalia Thread ya Pawaga kumbe na wewe ni K tuu