Afadhali umesema ukweli matra yasije kesho jioni yakavamia vibanda vya m-pesa
MKUU ACHA KUDANGANYA WATU ASEE NAANDIKA HII COMMENT MPAKA SASA NIPO KIBANDANI KWANGU: INGEKUA NI FAIDA YA HIVYO NAKUHAKIKISHIA WATU WANGEKUA MATAJIRI MTAANI.
IPO HIVI KWA MIHAMALA YA KUTOA.
5000-9999 FAIDA 187
10000-19999 FAIDA 230
20000-29999 FAIDA 294
50-99 ELFU: FAIDA 322
100K NI 460.
WE UMEITOA WAPI HIYO FAIDA YA MIHA.ALA WA SH 5000 ULIPWE 500 BAYO HIYO CAMISHENI HATA MTU ALIYE TOA LAKI MOJA HUWEZI IPATA?
Sent using Jamii Forums mobile app