Vodacom tunaomba mfanye marekebisho kwenye commission

hahahha imebidi nicheke umenikumbusha mbali.kipindi nafungua mpesa niliambiwa kukunja 400k kwa mwez ni kugusa.mwisho wa siku nikawa naambulia eflu 50 kwa mwez.nikaacha biashara

ila wale madogo wanaofungua mpesa za vibanda umiza waheshimun sana wanazidi hadi kamishen wenye fremu kubwa.nilipewa mchongo na mm nikaunga (nakuwaga faster sana kwenye fursa)

michanganuo yetu kwenye vibanda

WATEJA WAKIJA KUTOA HELA FADA IPO KAMA IFUATAVYO

5000 faida 500
10000 faida 500
11000 hadi 20000 faida 1000
21000 hadi 30000 faida 1500
40000 hadi 90000 faida 2000
10000 hadi 199999 faida 3000
200000 hadi 299999 faida 5000
300000 hadi 399999 faida 5500
400000 hadi 499999 faida 6000
huwa hatutoi zaid ya laki 500,000

kipindi tunatumia lipa kwa mpesa ndo pesa ilikuw tamu sana ila saiv tumebak na hizo faida.ukifanya mpesa kama mpesa asee unaumia wala huwez kusonga mbele.

ukitaka kuwin biashara yoyote fikiria nje ya box.
nimeku PM
 
Daah kweli aisee wanazingua sana ila mwisho wa siku lazima watumbue mawala wengine wanategemea kazi hio hio kuendesha familia zao
 
Mabepari ndio maana nikaachana na hii biashara.. Wahuni sana hawa
usiache saiv ndo kuna faida yakumwaga kama wew n mjanja
IMG-20210807-WA0001.jpg
IMG-20210807-WA0000.jpg
 
MKUU ACHA KUDANGANYA WATU ASEE NAANDIKA HII COMMENT MPAKA SASA NIPO KIBANDANI KWANGU: INGEKUA NI FAIDA YA HIVYO NAKUHAKIKISHIA WATU WANGEKUA MATAJIRI MTAANI.

IPO HIVI KWA MIHAMALA YA KUTOA.

5000-9999 FAIDA 187
10000-19999 FAIDA 230
20000-29999 FAIDA 294

50-99 ELFU: FAIDA 322

100K NI 460.

WE UMEITOA WAPI HIYO FAIDA YA MUHAMALA WA SH 5000? NDO ULIPWE 500 BAYO HIYO CAMISHENI HATA MTU ALIYE TOA LAKI MOJA HUWEZI IPATA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kawachota sana
 
Nimemwambia wife aachaane na hiyo biashara kichaa hasikii
Biashara kichaa uwakala? kazi inayoweza kukupa 2M kwa mwezi

kwa kugusa gusa tu simu hapo mtu kaingia kazini saa 4 asubuhi kafunga 8pm

na hiyo 2m ushalipa mfanyakazi chake,ushatoa kodi ya eneo na bado 2m imesimama

unaweza iita hiyo kazi "biashara kichaa" mkuu kuwa serious bana achaga matan ya ngumi...
 
Jana mteja m-pesa katoa 300,000/= commission nikapata 1,100/= na apo alikatwa 10,000/= gharama ya kutoa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yaani hujajua kuwa wewe u kibarua wao mkuu.

Iko Ivi kazi ya kutumia brain inathaminika kuliko manual work mkuu.kiufupi unachimba mtaro mkubwa unalipwa 8000 kwa siku.aliyekuelekeza chimba saizi hii analipwa laki 2 kwa siku.
So waza sana.kiukweli voda Wanabana Sana kamisheni.
Pia makato pia ni makubwa kisa wametangulia wao Ila soon itaporomka.
Natabiri
 
Biashara kichaa uwakala? kazi inayoweza kukupa 2M kwa mwezi

kwa kugusa gusa tu simu hapo mtu kaingia kazini saa 4 asubuhi kafunga 8pm

na hiyo 2m ushalipa mfanyakazi chake,ushatoa kodi ya eneo na bado 2m imesimama

unaweza iita hiyo kazi "biashara kichaa" mkuu kuwa serious bana achaga matan ya ngumi...
Pole sana
 
Mkuu upoo?
 
Back
Top Bottom