Nimepokea ujumbe kutoka Halopesa kuhusu kukata asilimia 10 kutoka kwenye jumla ya commission ya mwisho wa mwezi

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema ndugu zangu,

Nimepata ujumbe kutoka halopesa kwamba kuanzia December kuelekea January 2022, wataanza kukata kodi ya ten percent kutoka kwenye jumla ya commission yako ya mwisho wa mwezi

1. Mfano wakala mwisho wa mwezi ukipata commission ya 100,000/= serikali wanaondoka na elfu kumi kama kodi.
2. Nawapa shikamoo mama Samia. Mwigulu nchemba na serikali ya C.CM nasema kazi iendeleeee.
 
Zen watanzania tulivyo wajinga tunahisi haki na usawa kwenye jamiii itapiganiwa na chadema.
 
Back
Top Bottom