KERO Vodacom tatueni changamoto ya kimtandao mbona mnatutesa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hapana.

Hawa jamaa mda tu mtandao wao ulianza kuwa hovyo internet speed ya kobe.

Mtandao wangu mkuu kwa internet ulikuwa voda ila kwa sasa nimeweka pembeni laini yao angalau halotel na yas wanajitahidi.

Sijui shida yao nini.
Kabisa mkuu, mwenyewe Internet yangu ilikuwa Voda lkn ilibidi nitumie Yas tu. Na tatizo limekuwa la muda.
 
Kama wanazingua vunja line mkuu hiyo siyo TANESCO wapo peke yao.

Weka Divert kama namba yako wanaijua wakipiga iende huko Halotel mpaka wazoee Halotel ,kuendelea kutumia kitu kibovu ndiyo kinawpa vichwa ,wakiona Active Subscribers inashuka watatia akili.

Kwasasa Vodacom wana wateja wengi sana ukiliganisha na mitandao mingine ,kwahiyo wamezidiwa sana.
Mtandao umekuwa down sana.
 
Kweli yani jamaa kwenye internet hakuna mtandao uliokuwa unawakaribia ila kwa sasa wanatia huruma.

Niliwapigia kuwauliza shida nini hawana majibu ya kueleweka zaidi ya kusema tutalifanyia kazi.

Hovyo kabisa.
 
Watakwambia wanalishughulikia tu basi.
 
Voda wana changamoto kwa siku kadhaa sasa, nikajua kwangu tu.
 
Mimi internet nimeona vyema kutumia Airtel tu sababu kwanza nakuwa huru, natumia data ninavyotaka, ukiunga bando Voda linakauka mapema tu. So unlimited ya internet Airtel inanipa uhuru mkubwa.

Voda hapa nilipo mwanzo walikuwa vyema ila sasa hivi wanasuasua, so nikaamua eneo la network niwamwage tu.
 
Voda ndio ulikuwa mtandao super sana kwa internet lakini sasa wamekuwa changamoto.
 
Yani saa zima internet inanigomea mpaka uwashe vpn wanafeli...
 
Back
Top Bottom