Nilipiga huduma kwa wateja nikaulizwa ulishawahi kuripot account yako ifungwe nikwaambia hapana,Me pia ni mdau wa voda na mfanyabiashara ila kwenye hili wanafanya ujinga
Kama mtu amepiga sm kudai lain ifungwe ametuma kimakosa why wasinipigie na mm na kutuunganisha ukweli uwe wazi ndo wafunge line
Mijitu inaagiza mizigo mkoa inalipa na kupiga sm hela irudishwe voda wanakimbilia kufunga line
***** zenu
Fanyeni mtu aweze kulipia kwa app za playstore automatically. Mpesa ya safaricom inahiyo huduma. Wakisema weka payment syastem kuwena option ya mpesa.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Halafu hizo tochi wanaziuza kwa bei poa [emoji23][emoji1787][emoji23]Lipo ila ndo halikai kabisa, yaani mauzauza [emoji2955][emoji2955]
Siku mkipoteza pesa ndio ntajua umuhimu wa huduma hiyo..nilishawai kutuma laki 6 kimakosa nikawai na pesa yangu ikarudi isingekuwa hivyo pesa ingetolewaFanyeni mtu aweze kulipia kwa app za playstore automatically. Mpesa ya safaricom inahiyo huduma. Wakisema weka payment syastem kuwena option ya mpesa.
Kwani hawawezi kuzuia huduma ya M-pesa kwa laini husika bila kuifungia kabisa? Mbona baadhi ya mitandao wanakufungia kisha wanakupigia simu kukuekewesha kilichotokea? Unafungaje laini ya mtu moja kwa moja bila kumsikiliza? Kama kauza bidhaa je?!Siku mkipoteza pesa ndio ntajua umuhimu wa huduma hiyo..nilishawai kutuma laki 6 kimakosa nikawai na pesa yangu ikarudi isingekuwa hivyo pesa ingetolewa
Haina 3g+inasoma 2g 3g na 4g basiSimu yangu Infinx Hot 9 Play X680. Inasoma mwisho 3G haisomi H+. Line ni Voda 4G. Msaada tafadhali.