Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

VodaCom, mlituambia tukikamilisha Usajili kuna dk au GB za kutumia kwa mwezi mbn hatuzioni???
 
Naomba msaada wa token
625306271_1-22032018.jpg
 
Kwa kuelewa fika kuwa watanzania wengi wanategemea kupata habari kutokea kwenye ile page ya dada wa taifa.. vodacom wameamua kutupatia bure huduma ya instagram kila uongezapo sh 1000.

Hii offer sio kwa bahati mbaya wanaelewa fika kuwa waTz ni binadamu na wamebinywa sana ktk kupata information kutoka local media hadi sasa hutegemea kupata real information kutokea kwa dada wa taifa los angel...

Vodacom yule dada ana follower 1.7 mill hapo mmetuweza kwani mmeturahisishia huduma.
 
Walivoletaga Facebook bure na mitandao mingine wakaiga Walitaka watu wakasome nini Facebook !! Hujui kama Jamii forum nayo bure ukitumia tigo.
 
Naendelea kubeti tusua mapene ila sjabahatika bado, sasa sijajua hao wanaoshinda wao wanachezaje mana nacheza sana hadi nakata tamaa mana sijashinda hata buku nananunua sana vifurushi vya mwezi ila bado nakaza buti
 
Nilijisikia furaha baada ya kusikiliza tangazo lao likisema ukiweka vocha ya elfu moja Instagram ni bure,sasa nime jiunga na kifurushi cha elfu mbili nikiwa natumia kama muda wa maongezi ile kuingia Instagram kucheki videos na kusikiliza sounds haikuchukua siku Salio limeisha najaribu kufungua videos zinagoma kufunguka daa nikachoka nikasema huu wizi sio
 
Back
Top Bottom