chura mweusi
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 394
- 89
custumer care wa voda mnaboa. matatizo ya wateja hayatatuliwi. mnabaki kutoa ahadi za kusubiri saa 24 bila mafanikio. mmezidi wizi. mbaya zaidi TCRA wako kimyaaa
Wanaudhi kuliko kamasi!!!!@ hivi hakuna jindi ya kuwashtaki jmn. Kweli mie najionea kero tu. Nni kosa kuingilia privacy mtu. Mimi sijui wamekula ma h arage ya wapi simu wanaitumia km yao. Kila dk tangazo mie spendi ht kidogo natamani kungata huyo mtu. Hivi wanajua wanavyokera kweli? Kwa nini wasiulize mteja kwanza? I really dont like it at all. ------!!!!!@
Eti wamenitumia message wamenianzishia huduma ya games ambayo sio bure. kama sitaki nitume neno UNSUB kwenye namba 15362. Mimi sijawahi kuomba hiyo huduma isitoshe ku UNSUB sio bure hiyo message unalipia. Nina hakika watumiaji wengi sio makini wasipo UNSUB wanatozwa kwa huduma hujahitaji. Hebu fikiri licha ya wizi wa mchana usumbufu gani huu. Isitoshe wanageuza simu yako ubao wa matangazo ya biashara bila ruksa yako au kukupatia chochote. Ukikaa kidogo unasikia 'kabang' unadhani ujumbe wako ukiangalia unakuta tangazo la vodacom. Mamlaka inayohusika hebu tuokoeni na huu ubeberu wa makampuni ya simu.
Wanaudhi kuliko kamasi!!!!@ hivi hakuna jindi ya kuwashtaki jmn. Kweli mie najionea kero tu. Nni kosa kuingilia privacy mtu. Mimi sijui wamekula ma h arage ya wapi simu wanaitumia km yao. Kila dk tangazo mie spendi ht kidogo natamani kungata huyo mtu. Hivi wanajua wanavyokera kweli? Kwa nini wasiulize mteja kwanza? I really dont like it at all. ------!!!!!@
Mtuwezexhe Na xixi tulio uku mozambique kutumia vodacom line ya nyumbani