Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

Habari imechacha hii. Lete mpya
 
Tozo kama tozo
Mtu amepata PROMOTION watu mnaingiza tafsiri tofauti.

Sasa angewezaje kuwa MD wa VodaCom Tanzania na wakati huo huo Vodafone Hispania bila kujiuzulu huku ?
 
Baada ya kampuni kuuzwa wameamua watimke wakaanzishe hiyo yao huko southafrika sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…