TBL kumteua Mzungu kuwa MD ni sababu hakuna wazawa wanaoweza kuongoza TBL?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,119
49,843
Vodacom iliwahi mteua MD kutoka nje (Kenya) ila Serikali ya Magu ikamtimua na kumnyima visa na working permit kwa maelezo kwamba wapo Watanzania wanauweza hiyo kazi.

Swali: Je, Tanzania hatuna watu wenye uwezo wa kuwa ma MD wa TBL?

===
1706774729479.jpeg

TBL APPOINTS FIRST FEMALE MDTanzania Breweries Limited has appointed its first female managing director in its 90-year company history.Ms. Kilpin takes over at TBL after two years under Jose Moran's leadership, who is now progressing to a regional portfolio on the continent.

TBL igeni wenzenu wa BoT,hawacheki na Kima👇👇

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1753748154082644053?t=X2DzV0oGptsiACRG3c2pFg&s=19
 
Shareholder na Wamiliki wanasemaje ? Na je huyo Mzungu ana vigezo duni kuliko waliopo na waliotuma application na waliowahitaji kulingana na huyo ?

Nadhani hayo maswali kama wananchi walipa Kodi tungeanza kujiuliza kwanza kuhusu mali zetu tunazomiliki / tulizokuwa tunamiliki 100 % kama Bandari kwamba tunashindwa vipi kufanya sisi mpaka kwenda ughaibuni ? Binafsi nigeona jambo jema hata kama tungeajiri senior management yote kutoka hata Mars au Maroboti lakini ownership ibaki..., kuliko kujifanya wazawa ndio wanafanya kazi kumbe ni vijakazi vya makampuni ya watu...
 
Vodacom iliwahi mteua MD kutoka nje (Kenya) ila Serikali ya Magu ikamtimua na kumnyima visa na working permit kwa maelezo kwamba wapo Watanzania wanauweza hiyo kazi.

Swali: Je, Tanzania hatuna watu wenye uwezo wa kuwa ma MD wa TBL?

===
View attachment 2890575
TBL APPOINTS FIRST FEMALE MDTanzania Breweries Limited has appointed its first female managing director in its 90-year company history.Ms. Kilpin takes over at TBL after two years under Jose Moran's leadership, who is now progressing to a regional portfolio on the continent.
Nenda shares nani anazo nyingi? Ndio huakua MD awe nani atoke wapi.....pia uzoefu sekta hiyo unachangia watu invest pesa ndefuuu....wanahitaji rerurns....serilali ikusanye kodi....wa tanzania wapate salary na ajira
 
Back
Top Bottom