Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
pole kaka... me ndio napata hivyo View attachment 66472
Gstek nimeiona mkuu
pole kaka... me ndio napata hivyo View attachment 66472
Voda 800 nnaweza kuamini ila nayo ni peak 2 haikai sana ila Airtel kamanda hapo hiyo ni fix. Hawana hii speed sehem yeyote wanapiga kabobo 2. 400kbps nayo ni big mayb. Na uki2mia hicho kiasi cha kwanza inaporomoka, wakati unajiunga 2 wanakwambia hicho ki2 so i'm assuming kama unapata 800kbps(again i'm highly sceptical) after utapata abt 100kbps
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?
mkuu hii ya tigo haikufai 3g sema ya 3.5g inafika 2.5mbps haikai sana @2800 @wk ila ipo limited kuwa kila siku inapewa 150 mb za kudownlolad na 2gb zakusafu every dy wk=150*7~1gb za kudowload tu na 2gb*7=14gb za kusaf at wk @2800.
mi natumia 8500@mwezi na pata 600mb za kudownload 50gb za kusaf kila siku.![]()
wanajuaje kama kwa muda huu ni kusurf au ni kudownload?? 50GB kusurf?? i am interested.....
pole kaka... me ndio napata hivyo View attachment 66472
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?
Mgeni3 hawezi kukudanganya hicho ni kichwa cha zamani sasa yupo busy tu. Better ukachukua busara kidogo kwake amefanya vipi hilo litakua la maana
Nafkiri sasa atakua kishaelewa
unaweza kucheki ni provider gani huyu ...View attachment 66486
kuna times BOMBA 7, smtimes 30 cha msingi ukishaunga afu unadownload usidisconnect ile first day, ukiweza usichomoe modem mpaka hizo siku 7 zinaisha wala kuizima laptop..... unaweza ukashusha mpaka 10gb kwa speed kubwa tu. Afu kuna special cases baadhi ya line hawapunguzi speed hata baada ya kukutumia ile sms ya kuwa speed itapungua!okay so ni kifurushi gani una2mia by d way?
special cases are accepted. Uko pande ziip wewe cause hawa jamaa kufika 700kbps ni miracle.
kuna times BOMBA 7, smtimes 30 cha msingi ukishaunga afu unadownload usidisconnect ile first day, ukiweza usichomoe modem mpaka hizo siku 7 zinaisha wala kuizima laptop..... unaweza ukashusha mpaka 10gb kwa speed kubwa tu. Afu kuna special cases baadhi ya line hawapunguzi speed hata baada ya kukutumia ile sms ya kuwa speed itapungua!
....nashindwa kuelewa wameona nini mpaka kubadilisha hii bomba 7 ambayo naamini ilikuwa na wateja wengi tu...sasa imekuwa kero,,spidi ndogo, page hazifunguki ukiuliza eti "restart modem yako!!!"" khe...! sijui kwa sasa ni mtandao gani utakuwa unaridhisha wanajamvi maana hapo kabla nilikuwa airtel nikaona mizinguo, nikaenda zantel walikuwa wazuuri lakini nao wakachakachuka baadae na highlife zao, nikaja voda bomba 7 nao walikuwa poa sana..sasa...:A S 20::A S 20:...!! kwa walioko nyanda za juu kusini jamani embu nipeni maoni yenu mnaona mtandao gani walau unanafuu kwa sasa...
Mkuu mimi vile vile ni mtumiaji wa bomba30 toka vodacom takribani mwezi wa pili sasa. Mwanzoni nilivyojiunga ilikuwa ni unlimited although speed ilikua ya kawaida(sio kubwa). Lakini kwa sasa sera zimebadilika. Kila package(bomba7 au bomba30) inakua na kifurushi cha kuanzia na ndani ya matumizi ya kifushi ulichopewa speed inakua kubwa(up to 3.6mbps, other factors remain constant). Ukishamaliza kifurushi husika, speed inapungua(will drop to 64kbps until package end date). Utaendelea kusurf kwa speed hiyo ndogo mpaka mwisho wa package husika.
For more details please visit Vodacom Internet Bomba.
.....
....
okay, ntajaribu those other tips nikimaliza hii ya mwezi cause ma speed is already down balaa nikipata above 50kbps downloading speed sherehe
tumia 200 ya voda usiku
Nilikua na2mia hiyo but sasahivi ni ka wk ya pili haikubali kuunga nmeshajaribu laini kama 3 hivi hamna ki2. Nikachukua ya mwezi nikijua itakua the same na hii ya 200( hii nakubali asee speed ile haishikiki). Kujiunga 2 na hii ya 30,000 nikakutana na sms kua nina 3GB baada ya hapo speed itashuka and yeah ilishuka balaa nasota nayo 2 now 🙁
hata kwangu hiyo ya 200 ilikua inazengua but now mambo mdundo hit *149*01# then Late Night Offer ka kawa, pia mkubwa voda wana toa 5GB kwa 20,000 why ujitese na 10Kbps kwa 30,000??
it worked (i can't believe nnanunua tena net wakati wameshaniuzia kifurushi chao kwa 30K). Nahamia TTCL by d way