vodacom bomba 7!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vodacom bomba 7!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sijui nini, Aug 15, 2011.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  nashindwa kuelewa wameona nini mpaka kubadilisha hii bomba 7 ambayo naamini ilikuwa na wateja wengi tu...sasa imekuwa kero,,spidi ndogo, page hazifunguki ukiuliza eti "restart modem yako!!!"" khe...! sijui kwa sasa ni mtandao gani utakuwa unaridhisha wanajamvi maana hapo kabla nilikuwa airtel nikaona mizinguo, nikaenda zantel walikuwa wazuuri lakini nao wakachakachuka baadae na highlife zao, nikaja voda bomba 7 nao walikuwa poa sana..sasa...:A S 20::A S 20:...!! kwa walioko nyanda za juu kusini jamani embu nipeni maoni yenu mnaona mtandao gani walau unanafuu kwa sasa...
   
 2. L

  LARRYHOVER Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wehu sana hawa sasa ivy mkomboz pekee alie bakia ni ttcl.
   
 3. S

  Sumu JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Daaaah! Sina cha kuongea yani, imeanza wiki hii hiyo kitu. Nilikuwa naitumia kwa mwezi wa tano sasa hivi kila wiki ilikuwa ni lazima nijiunge lakini wiki hii ndo itakuwa mwisho. Yani google yenyewe kufunguka ni dakika tatu inachukua.
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pengine ilikuwa promotion tu ya modem zao
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mdau..hii ttcl unayotumia ni ile cabled au wireless broadband...em nipe data vizuri pliz!
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  inawezekana...sasa sijui kwa nini wanaendelea kuiita internet bomba...au bomba la maji taka!!!!
   
 7. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 581
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwakweli hawa jamaa hata cjui wananini ths week wameniboa sana, ipo slow mpaka kero
   
 8. L3 C4p0n3

  L3 C4p0n3 Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nlijua labda nliko signal ni ndogo kumbe mpaka kwa wenzangu, yani modem ina soma hspda bt ngoja uanze ku browse utachoka mwenyewe
   
 9. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mimi 2wks ago nimetumia bomba7 na ilikuwa na speed nzuri tu labda wiki hii, lakini sasa natumia bomba30 inaspeed nzuri tu kwa kweli hata hapa ninapopost post hii natumia boma30 na inaspeed nzuri tu kwa kweli, na fikiri inategemea na komputa pia kama ipo slow hata speed ya internet inakuwa slow. Nawalaumu tu zanetel nina modem yao natamani kuitupa hivi hawaoni umuhimu wa kuweka unlimited watu wengi sana wametupa modem za Zantel. hivi naomba kuuliza naweza kurudisha modem wakanirudishia hela yangu?
   
 10. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu mimi vile vile ni mtumiaji wa bomba30 toka vodacom takribani mwezi wa pili sasa. Mwanzoni nilivyojiunga ilikuwa ni unlimited although speed ilikua ya kawaida(sio kubwa). Lakini kwa sasa sera zimebadilika. Kila package(bomba7 au bomba30) inakua na kifurushi cha kuanzia na ndani ya matumizi ya kifushi ulichopewa speed inakua kubwa(up to 3.6mbps, other factors remain constant). Ukishamaliza kifurushi husika, speed inapungua(will drop to 64kbps until package end date). Utaendelea kusurf kwa speed hiyo ndogo mpaka mwisho wa package husika.

  For more details please visit Vodacom Internet Bomba.
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mimi natumia bomba30-yaani inajidisconnect yenyewe baada ya dakika saba,so ni mtindo wa kuchomoa moden na kuiewka tena kwa kila baada ya dk 7,kwa mtindo huu nasubiria mwez uishe nihamia ttcl,nimewapigia voda customer care zaid ya mara 4,wameshinda kusolve hili tatizo
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Daaah mm mambo ya modem nshapga chn, nlinunua modem ya voda ikawa mizinguo nikaamua kui unlock ili nitumie mitandao yote na nika I update pia tatzo packlage za mitandao yetu zko limited so nkaona nipge chn. Mm sasa hivi natumia airtel najiunga mb 400 nazitumia kwenye cm kwa wiki 2 na usiku uwa natumia ile huduma yao ya mb za bure kuanzia saa 5 usiku kwa ajili ya kudwnload series. Kila siku uwa na dwnload series episodes 4 kwa simu katika format ya AVI ambayo episode moja inakuwa na mb 59 so nazihamishia kwenye comp toka kwenye simu na convert zinakuwa katika formal ya mpeg na watch kwa raha. Kwa kweli mm nshazoea net via simu na naienjoy kuliko ya comp hata nikitaka movie nasubiri usiku hizo mb 200 za bure ndizo na dwnloadia mvie kwenye simu in format ya avi inakuwa na mb ka 120 naihamishia kwa laptop naiconvert nawatch ka kawa. Mb 400 nazojiunga uwa nazitumia during the day kuchat fb, kusurf kuingia jamii forums n.k so I spend 2500 kwa wk 2 for internet jamana modem znachosha aisee
   
 13. L

  Lepapalongo Member

  #13
  Aug 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wadownload kwa njia gani na ni site gani hyo?
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Moviesmobile.net na fztvseries.mobi
   
Loading...