Vodacom, mnafahamu maana ya UNLIMITED Intenet?

Vodacom, mnafahamu maana ya UNLIMITED Intenet?

Ni kwel wanasumbua saana maanA ukinunua kile cha 25000 unatumia kidogo kwa speed mzuri cha kushangaza ikipita mda kidogo tu speed inkuwa vry slow mpka unashangaa na hapo itakaa ivoivo mpka mda wa kuisha ni kero kwa kweli
 
Line yao nishaweka kabatini
 
Kwa muda wa miezi 2 ya kutumia Airtel bundles naweza kushauri hivi: Piga *148*88# halafu chagua kufurushi cha wiki kwa shilingi 3,000/= kwa GB 1 au cheaper kile cha shs 5,000/= unapata GB2.

Speed zake ni nzuri sana tena hapa Ifakara japo sipo mahali pazuri sana. Mimi ni mtumiaji mkubwa sana wa internet kuanzia asubuhi hadi jioni nimekaa kwenye pc yangu, pia nadownload video kwa spidi kama ya ile niliyoona nchi za Ulaya, mimi mwenyewe nimeshangaa sana kwa spidi hadi sasa.

ILA: Optimize modem yako ikae kwenye 3G na sio kati ya 3G na 2G, UTAFURAHIA SANA FAST INTERNET!
 
jaribu zantel nilishakuwa airtel nikaondoka nikaenda voda nao tabia hiyohiyo nimefika zantel wako safi
 
Kiukweli Watz wanahitaji ukombozi kwa kila kwenye sekta hasa hizi za muhumu, ukimwambia mteja unlimited kwa siku inatakiwa atumie anavotaka masaa 24, kwanini atumie mass 12 ikisha useme umefika mwisho?

Tatizo yote haya Watanzania walio wengi ni wale waliokua hawakusoma kwa kila taasissi inafanya inavotaka bila ya usimamizi.

Ukija kwenye elimu shule haina viwango anapanga bei anavotaka, kwenye mawasiliano wizi ndio kama huu, kwanini usiandike umepewa mb 700?
 
Hawa voda ni wajinga sana. Nimenunua kifurushi ya wiki enternet bila kikomo sh 7000. Wamenitumia hii

Umefikia kiwango cha 2048MB.Endelea kutumia kwa kasi ndogo hadi tarehe ya mwisho. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti

Hainiruhusu hata kuingia web yoyote kirahisi. Hapa nilipo naelekea mjini kununua line ya Airtel. Vodacom go to hell!

Haha lazima kuwe na fair usage wabongo mkiambiwa unlimited mtaacha laptop on week nzima hata ukinunua airtel usitarajie kuna vitu vya bure kiivyo na cha kuvutia zaid iyo laini usipotumia miezi kadhaa anapewa mwingine
 
Hapana huu ni wizi kwa mfano voda ukinunua kifurushi cha buku cha bila kikomo yaani GB 1 uki download movie kwa mfano ya GB 1 ukifikisha mb 678 hapo ndio mwisho unaambiwa umeishiwa data Tafadhali endelea kutumia mb kwa kasi ndogo si wizi huo?
 
Voda hawafai..hiyo unlimited unayosema ni ya 1 GB ilishashushwa had 700 MB..
 
Kuna kazi ya ku download nnayo lakini baada ya kujiunga bandle ya unlimited, naona imeanza vizuri mara ghafla hata ku load page imekua shida iko very slow na bahati mbaya zaidi hata kazi haifika nusu!

Sasa mimi nashangaa nini maana ya unlimited intenet kwanini hawa Vodacom Tanzania wasiseme ukweli mpaka tudanganyane mchana kweupe?

Je, ili niachane na huu wizi ni mtandao gani wanatoa huduma ya unlimited intenet nzuri?

Muuliza EL kwani unafikiri manoti anayowapa Watanzania wanaompigia debe anapata wapi? Ndipo watakapokoma kulishabikia jizi Jambazi la mchana kweupe.
 
me nsha acha kutumia mabando us Voda kabisa, maana ile unlimited ikifika GB 1 hiyo unlimited inakuwa kama limited
 
Muuliza EL kwani unafikiri manoti anayowapa Watanzania wanaompigia debe anapata wapi? Ndipo watakapokoma kulishabikia jizi Jambazi la mchana kweupe.
Una wenda wazimu?:A S confused:
 
Back
Top Bottom