Vodacom, mnafahamu maana ya UNLIMITED Intenet?

Vodacom, mnafahamu maana ya UNLIMITED Intenet?

Mi natumia vodacom. 25,000 kwa mwezi napata unlimited kwa siku 30
Sijawahi kupata tatizo kama lako. Ninatumia kwenye PC na simu.
Soma hii...ya spensa_e
Ni usanii, na lugha ya ulaghahi kwa mteja, wanakwambia unlimited lakini sio kweli wanakiwango Chao kikifika wanakupunguzia speed, mm nawekaga cha mwezi unlimited cha 25,000 ila nikifikisha 5gb speed inapungua sana
Na hii ndiyo shida yetu, kama yako haisumbui wenda una matumizi ambayo hafafiki 1gb+!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kazi ya ku download nnayo lakini baada ya kujiunga bandle ya unlimited, naona imeanza vizuri mara ghafla hata ku load page imekua shida iko very slow na bahati mbaya zaidi hata kazi haifika nusu!

Sasa mimi nashangaa nini maana ya unlimited intenet kwanini hawa Vodacom Tanzania wasiseme ukweli mpaka tudanganyane mchana kweupe?

Je, ili niachane na huu wizi ni mtandao gani wanatoa huduma ya unlimited intenet nzuri?

Airtel
 
Wanatumia neno unlimited kuvutia soko tu. ila unlimited nayo imegawanyika kama hivi;

1. Unlimited speed with limited bandwidth
Hupatikana kwenye volume based packages mfano mzuri ni packages wanazouza smile, hapa huwezi kukumbana na matatizo ya speed kupungua, Tigo, voda na airtel pia wanazo hizi packages.

2. Unlimited bandwidth with limited speed
Hii ndio wengi wanalalamikia baada ya muda fulani wa matumizi speed hupungua)

3. Unlimited speed, unlimited bandwidth (pendeleo la wengi)
TTCL wanazo hizi unalipia kwa mwezi au miezi 6 au miezi 12 ila gharama zake ni kubwa yapo pia makampuni mengine yanatoa huduma hii.
 
Unlimited ya voda inamaanisha 1gb kwa speed of light alaf baada ya hapo peruz 24hrs kwa spid ya kobe
 
Unlimited ya voda inamaanisha 1gb kwa speed of light alaf baada ya hapo peruz 24hrs kwa spid ya kobe

Hiyo speed ya Kobe ukiipata shukuru mungu...ni kwamba hakuna chochote..no internet no speed ya kobe
 
Hawa voda ni wajinga sana. Nimenunua kifurushi ya wiki enternet bila kikomo sh 7000. Wamenitumia hii

Umefikia kiwango cha 2048MB.Endelea kutumia kwa kasi ndogo hadi tarehe ya mwisho. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti

Hainiruhusu hata kuingia web yoyote kirahisi. Hapa nilipo naelekea mjini kununua line ya Airtel. Vodacom go to hell!
 
Kuna kazi ya ku download nnayo lakini baada ya kujiunga bandle ya unlimited, naona imeanza vizuri mara ghafla hata ku load page imekua shida iko very slow na bahati mbaya zaidi hata kazi haifika nusu!

Sasa mimi nashangaa nini maana ya unlimited intenet kwanini hawa Vodacom Tanzania wasiseme ukweli mpaka tudanganyane mchana kweupe?

Je, ili niachane na huu wizi ni mtandao gani wanatoa huduma ya unlimited intenet nzuri?

Ukweli wa Unlimited Za vodacom;
Siku - 1000 unapata 1 GB ukimaliza wanapunguza speed kabsa internet inakuwa slow Sana
WIKI - 7000 unapata 2 G ukimaliza wanapunguza speed kabsa internet inakuwa slow Sana
Mwezi - 25000 unapata 5 GB ukimaliza wanapunguza speed kabsa internet inakuwa slow sana

Lugha za Biashara hizo lazima uwe makini.
 
Wanafahamu Sana wanaposema unlimited ni kwenye Ku browse tu sio streaming au downloading
 
Mimi wananishangaza. Nanunua unlimuted ya bukun. kwa siku. Kabka ya kununua modem inaaonyesha nipo 3G. Nikijiunga unlimited haraka sana inabadilika na kuwa 2G hii ni hujuma mchana kweupe
 
Sasa nitumie mtandao gani? Kwasababu mitandao yote mliyotaja majanga
 
Mi natumia vodacom. 25,000 kwa mwezi napata unlimited kwa siku 30
Sijawahi kupata tatizo kama lako. Ninatumia kwenye PC na simu.

Ilikuwa hivyo zamani.
Kwa muda wa kama wiki hivi vodacom wamebadilisha gharama nafikili.
Kifurushi hakimalizi muda wake kama tulivyoahidiwa.
 
,,,

,,,,
,
,,

,,
,,
,,
,,,
,,

,,,

,
,,
,,
,
,,
,
,,,,,,,,
,,,,
.
,,,.

,,,
.,
..,,,
,
,

,

,,

,,

,
,
,
,
 
Siku hizi Si hata hiyo 1GB..
ni MB 700 tu.. spidi ya Kobe inaanza

Ndo maana mm nshaachana na mb zao za kiwiz

Nkiwa nashida najiunga bando la usiku nategesha mizigo yang alaf nalala
 
Back
Top Bottom