mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,585
kwanini wakusumbue ww wakati line iko kwingine?Kuna dogo aliniomba atumie line yangu ya mpesa sasa kawapiga matukio yaani songesha ni takriban 360k na wezesha ni 900+k sasa nifanyeje jamani sasa hivi wananisumbua mimi japo niko mbali na dogo aliye na line??
kwani alikopa yote hiyo kwa mara moja,?kama sio kwanini alipoanza hukumdhibiti?
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app