Vodacom: Mgodi wanadai mkopo kwa fujo sana

Mkuu mbona nachojua Songesha ya Vodacom, makato kwa siku ni zaidi ya 10%, sasa hiyo 250k mkuu hata ukiwekewa 20k si ni sawa na bure au una mpango wa kutelekeza line [emoji16]
Sio Sawa na bure. Kuna amount huwa Inakatwa, then ukikopa tena wanakupa uendelee kudaiwa.

Mfano : imeingia 5000 Mpesa, hapa itakatwa yote lakini utaweza kukopa tena 3500. Maisha yanaendelea
 
"Mikopo ni roho" alisikika mhubiri mmoja maarufu wa jijini Dar.
Kwà bahati nzuri , sina mtu anayenidai analogically. Naogopa sana kudaiwa.

Hawa jamaa , si unajua...wao ndio Walinishawishi.....so nikajaa kwenye mfumo...sasa wananisumbua wakati mfumo wao hawajauweka front kwà kupick deni lao chap
 
Mgodi walinikopesha 15500, wanadai jamani sio poa nilikaa miezi 5 nikaja lipa sasa hivi wamenifungia kukopa.

Siku moja walipiga simu nikampa apokee mtoto aseme mama hayupo nae akasema " mama amesema hayupo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Basi yule baba akamwambia mtoto mwanangu usiwe mwongo kama mama yako ni dhambi kwa Mungu mama si yupo hapo akajibu eeeh yupo. Nilijisikia aibu sana siku hiyo
 
Lipa deni, kwenye kukopa hakuna kusikilizia maana hizo ni pesa za watu.
Sawa, lakini naona kama hawakujipanga vizuri. Mbona M-PAWA wameikuta na haina issue za kukopesha pesa kirahisirahisi.

Mimi sikua nimesave chochote MGODI, nashangaa, kukopa 10,000 kitu kikaitika. Na Wana bahati cause kiwango changu cha kukopa kilikua 60k.

Note: M-PAWA huwezi kukopa kama haujasave chochote
 
Mgodi walinikopesha 15500, wanadai jamani sio poa nilikaa miezi 5 nikaja lipa sasa hivi wamenifungia kukopa.

Siku moja walipiga simu nikampa apokee mtoto aseme mama hayupo nae akasema " mama amesema hayupo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Basi yule baba akamwambia mtoto mwanangu usiwe mwongo kama mama yako ni dhambi kwa Mungu mama si yupo hapo akajibu eeeh yupo. Nilijisikia aibu sana siku hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgodi walinikopesha 15500, wanadai jamani sio poa nilikaa miezi 5 nikaja lipa sasa hivi wamenifungia kukopa.

Siku moja walipiga simu nikampa apokee mtoto aseme mama hayupo nae akasema " mama amesema hayupo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Basi yule baba akamwambia mtoto mwanangu usiwe mwongo kama mama yako ni dhambi kwa Mungu mama si yupo hapo akajibu eeeh yupo. Nilijisikia aibu sana siku hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom