Vodacom: Mgodi wanadai mkopo kwa fujo sana

Vodacom: Mgodi wanadai mkopo kwa fujo sana

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,696
Reaction score
4,978
Straight to the point:

Line zangu mbili za VODACOM zina mikopo ya:

1. Songesha (250,000 Tsh)
2. Mgodi (10,000)

Daah hawa jamaa MGODI sijui Wana njaa. Aisee wanadai mkopo wao vibaya sana.

Nilishapigiwa simu na wao kwà namba tofauti tofauti zaidi ya mara 5 , wanataka 10,000 yao.

You guys (MGODI) kama mmo humu, asee ebu niacheni kidogo kwanza asee.

Mbona Songesha hawajawahi nipigia simu na wananidai pesa nyingi tu? Why you? Aah sio kweli bhana!
 
Straight to the point;-

Line zangu mbili za VODACOM zina mikopo ya

1. Songesha ( 250,000 Tsh )
2. Mgodi ( 10,000 )

Daah hawa jamaa MGODI sijui Wana njaa...asee wanadai mkopo wao vibaya sana....

Nilishapigiwa simu na wao kwà namba tofauti tofauti zaidi ya mara 5 , wanataka 10,000 yao.

You guys ( MGODI ) ...kama mmo humu, asee ebu niacheni kidogo kwanza asee...

Mbona Songesha hawajawahi nipigia simu na wananidai pesa nyingi tu? Why you?? Aah sio kweli bhana!!!
Si Ndio maana ya Mgodi!Lipa mkuu.
 
Mkuu dawa ya deni ni kulipa acha izo janja janja lipa hata buku buku daily sawa...
 
Sina hakika kama nitalipa. Nazipenda sana line zangu.

Kimaisha bado nipo na dang dang ...cause watu wengi hunijua kwà kupitia line hizi mbili.

Lakini issue zikikaa fresh, nazitupa hizi line zote...na select majina machache tu ya watu wenye UTU ( nawajoin kwenye new number ) , walionikataa wote nawapiga chini ...maisha yanaendelea.
Sure. Kulipa 250k Voda hapana aisee.
 
Sina hakika kama nitalipa.

Naishi yao kibishi ....

Nikipata Mpesa mfano 20k, wanakata yote. Kisha nawakopa tena.

Napata 15k,....5k inaingia kupunguza deni. Lakini naona kama deni linaongezeka tu

Mkuu mbona nachojua Songesha ya Vodacom, makato kwa siku ni zaidi ya 10%, sasa hiyo 250k mkuu hata ukiwekewa 20k si ni sawa na bure au una mpango wa kutelekeza line 😁
 
Back
Top Bottom